Sijuihoney kwema lakini??
Mkuu kuna uzi watu wanapeana like kwa post yoyote..Suali liko wazi. Humu sote ni watu wazima na wenye akili timamu na tunajua nini cha kufanya.
Nataka kujua ikibidi,hivi huwa unatumia kigezo gani au vigezo gani kumpa mtu like ?
Je unampa like mtu kwa kuokoa muda au kwa sababu ni rahisi kutoa like ?
Je kama like ni kuvutiwa na kitu au maoni ya mtu,je huoni kama like haitoshelezi katika kuwasilisha hisia zako juu ya kile kilichokuvutia miongoni mwa maoni ya wadau ?
Kamati kuu ya Haru.......c..[emoji41]watoa like maarufu bila sababu
Shunie
Mwifwa
bbae
Sesten Zakazaka
love b
mumu
Ushimen
Raynavero
Mzigua90
Ambiele Kiviele
Hajar
Maxence Melo
yna2
Demiss
wapo wengi siwezi kutaja wote hapa nimesahau wengine wao wanatoa tu haijalishi pumba wala point
yamekuwa haya darling?sina haja ya kujua
hahaha ya likesKamati kuu ya Haru.......c..[emoji41]
Kaka shikamoo.
babeSijui
[emoji3]subiri nianzee, ila uandike point tuHujawahi kunipa like kabisa wewe... haya tu wewe.
Kwa hiyo unamaanisha huwa naandika pumba?
No, points zilizopita sihesabu atiKwa hiyo unamaanisha huwa naandika pumba?
Nimekupenda bureHahaaaaa. Lol
Mdogo wangu mie dada yako kwa kila rafiki yangu, Swahiba wangu kaka yangu, ndugu yangu wa humu jf basi siwezi pita bila kumpa likes kwa chochote atakachoandika.
Na wengine ni wale wanavyoandika vitu ambavyo kwa upande wangu naona ni vitu vya msingi na vyenye kujenga.
Kwani Sh ngapi kutoa likes. Natoa tu kwa kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa mimi mpenzi mtazamaji nasambaza upendo tu, ila jukwaa la Siasa wale ninaopingana nao ni mara chache sana kuwapa like.
Nitatoa likes kwa wote ila siyo wale jamaa wa CCM, mashabiki wa Simba na wote wanaoongelea masuala ya dini/ imani kwa kuponda.
Mkuu kula like yako
Sent using Jamii Forums mobile app
πππNimekupenda bure
Hahaha!!!Unanifanya nipitie koment zangu zooote nione alonipa likes .
Jiandae nikikuta zako zipo mbili tuuuu nakufata kukupiga mistari !![emoji23] [emoji23] [emoji23]
We! Reception yangu naipenda! Kuna vingine huwa hatukabali kusaidiana hata iweje.Jaman me sina tabu msikilize haja ya moyo wake umpatie labda namnyimaga hukuwe waweza msaidia
Bahati yako sikukuta hata like yako moja !! Au ulikimbia kuzidislike???Hahaha!!!
Mke wa ajabu wewe! Ningekuwa Mimi hapo ningekuwa nishanuna. HongeraSawa sawa hakikisha unapewa na usipopewa tuandamane
Nishakupanipe basi
Itakuwa hujawahi kutoa points za maana, kwa maelezo yakeHujawahi kunipa like kabisa wewe... haya tu wewe.
Sema ukweli wako... madini nayotema-ga hapa ni ya kawaida kweli?Itakuwa hujawahi kutoa points za maana, kwa maelezo yake