Huwa unatumia kigezo gani kumpa mtu likes humu jf ?

Huwa unatumia kigezo gani kumpa mtu likes humu jf ?

Suali liko wazi. Humu sote ni watu wazima na wenye akili timamu na tunajua nini cha kufanya.

Nataka kujua ikibidi,hivi huwa unatumia kigezo gani au vigezo gani kumpa mtu like ?

Je unampa like mtu kwa kuokoa muda au kwa sababu ni rahisi kutoa like ?

Je kama like ni kuvutiwa na kitu au maoni ya mtu,je huoni kama like haitoshelezi katika kuwasilisha hisia zako juu ya kile kilichokuvutia miongoni mwa maoni ya wadau ?
Mkuu kuna uzi watu wanapeana like kwa post yoyote..

Nenda kule ukawaulize..nahisi watakuwa na jibu la kueleweka zaidi.
 
watoa like maarufu bila sababu
Shunie
Mwifwa
bbae
Sesten Zakazaka
love b
mumu
Ushimen
Raynavero
Mzigua90
Ambiele Kiviele
Hajar
Maxence Melo
yna2
Demiss

wapo wengi siwezi kutaja wote hapa nimesahau wengine wao wanatoa tu haijalishi pumba wala point
Kamati kuu ya Haru.......c..[emoji41]

Kaka shikamoo.
 
Hahaaaaa. Lol

Mdogo wangu mie dada yako kwa kila rafiki yangu, Swahiba wangu kaka yangu, ndugu yangu wa humu jf basi siwezi pita bila kumpa likes kwa chochote atakachoandika.

Na wengine ni wale wanavyoandika vitu ambavyo kwa upande wangu naona ni vitu vya msingi na vyenye kujenga.

Kwani Sh ngapi kutoa likes. Natoa tu kwa kweli.
Nimekupenda bure
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwa mimi mpenzi mtazamaji nasambaza upendo tu, ila jukwaa la Siasa wale ninaopingana nao ni mara chache sana kuwapa like.

Halafu inakuja automatic tu, kuna wale wafia chama wa Lumumba, hata nikutane naye MMU kumpa like ni kazi, labda nisome comment na ni-like kwa ubora bila kuangalia ID.

Maana kuna vile point inashuka kwa juu huoni mwandishi (kama unatumia simu).
 
Jaman me sina tabu msikilize haja ya moyo wake umpatie labda namnyimaga hukuwe waweza msaidia
We! Reception yangu naipenda! Kuna vingine huwa hatukabali kusaidiana hata iweje.
 
Hahaha!!!
Bahati yako sikukuta hata like yako moja !! Au ulikimbia kuzidislike???

Kama umedislike sio poa, uchoyo tu ndo utakua umekujaa..nasijui nn kikufanye ivo!!


Ila nakuahidi kuanzia sasa, ukinipa likes zako, zikifika tano tuuu,jiandae kupokea booooooonge la mtongozo[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom