Mh! Unanitisha sasa. Utanifanya nisitishe kutoa likesBahati yako sikukuta hata like yako moja !! Au ulikimbia kuzidislike???
Kama umedislike sio poa, uchoyo tu ndo utakua umekujaa..nasijui nn kikufanye ivo!!
Ila nakuahidi kuanzia sasa, ukinipa likes zako, zikifika tano tuuu,jiandae kupokea booooooonge la mtongozo[emoji23][emoji23]
Unatoa points, ila hazijafikia viwango vyake bidadaSema ukweli wako... madini nayotema-ga hapa ni ya kawaida kweli?
Au kwa wengine pumba!
Ashindwe na alegee.Unatoa points, ila hazijafikia viwango vyake bidada
Usitishike maana umesema like ni njia yako kufikisha hisia.Mh! Unanitisha sasa. Utanifanya nisitishe kutoa likes
Dini imeruhusu mathna wathalatha wa'arbaaWe! Reception yangu naipenda! Kuna vingine huwa hatukabali kusaidiana hata iweje.
ahhahahaha asante, ntanunia mangap sasaMke wa ajabu wewe! Ningekuwa Mimi hapo ningekuwa nishanuna. Hongera
Hahaaa...Kwenye CCM pamoja, ila kwenye mpira tonatofautiana, mimi Chura Churani nawapa tu like bila ubishi, hasa kama anajua kuchambua mpira.