Huwa unatumia mbinu zipi?

Huwa unatumia mbinu zipi?

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Linapokuja swala ku kudedicate music kwa umpendae.

Huwa unatumia mbinu gani kujua ni aina gani ya mziki anapenda umpendaye ili usije m boa kihisia juu yako.
Karibu kwa mawazo🎶
 
Aisee mtoa mada una umri gani? Mambo ya mahusiano umeanza lini?
 
Ww hayo mambo Nani anayataka pesa ni mziki tosha
 
Back
Top Bottom