Dividend
JF-Expert Member
- Jan 15, 2017
- 2,102
- 3,343
Kuna siku nilikuwa na stress zangu, mteja akauliza hiyo bidhaa fulani hapo sh ngapi? Nikamtajia bei. Eti anashtuka haaa mbona ghali sana, mbona pale marenga wanauza elfu 15 tu. Nikamwambia sasa hapa ni kwa marenga.
Nafikiri aliogopa nilivyomjibu, akainunua ile bidhaa. Lakini nilijistukia nikamwomba msamaha, sema na yeye alikuwa mwelewa akasema alijua tu sipo sawa, ndio maana akaamua tu kununua hivyo hivyo.
Nafikiri aliogopa nilivyomjibu, akainunua ile bidhaa. Lakini nilijistukia nikamwomba msamaha, sema na yeye alikuwa mwelewa akasema alijua tu sipo sawa, ndio maana akaamua tu kununua hivyo hivyo.