Watu wengi hutofautiana katika namna ya kujiwekea malengo—wapo wanaoanza kupanga kabla mwaka haujaisha, wakitumia muda kutafakari yaliyopita na kujipanga mapema, na wapo wanaosubiri Mwaka Mpya uanze ndipo waanze kuandika malengo yao. Wewe uko upande upi, na ni nini kinakusaidia zaidi kufanikisha malengo yako?
Dah mi mbona hata sinaga malengo .kwa mfano mwaka jana Sina hili Wala lile mjini kati nakutana na kiwanja Bei nzuri, kufuatilia kipo fresh full docs. Nikakinunua nikainua kajumba