Huwa unazingatia Nini unaponunua simu kwa mtu mwingine?

Huwa unazingatia Nini unaponunua simu kwa mtu mwingine?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
ZINGATIA HAYA UNAPONUNUA SIMU ILIYOTUMIKA AU KWA MTU

1. Angalia IMEI namba kwa Android na IMEI/MEID namba kwa iPhones, na zitumie kuhakikisha simu sio ya wizi

2. Kagua iwapo simu iliwahi kufanyiwa marekebisho na hakikisha vifaa vyote vipo sawa na vinafanya kazi

3. Kagua simu ina muda gani wa matumizi ili kujua kama unaweza kusasisha kupata toleo jipya la Programu Endeshi na Ulinzi

4. Kumbuka kufuta taarifa zote za mtumiaji wa awali au fanya 'Factory Reset' ili uanze kuweka vitu vyako
 
Unaangalia muzaji anauza kwa mazingira gani njaa ama nini
 
Back
Top Bottom