TIASSA JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 2,926 Reaction score 3,530 May 20, 2015 #1 Husika na kiwa cha habari hapo juu. Naomba kufahamishwa jinsi ya kupata hii networth/utajiri wa mtu au kampuni, kwa mfano wanavyo sema Oprah ana $ 2.5 bn au shahrukhan anazo $ 600 million.
Husika na kiwa cha habari hapo juu. Naomba kufahamishwa jinsi ya kupata hii networth/utajiri wa mtu au kampuni, kwa mfano wanavyo sema Oprah ana $ 2.5 bn au shahrukhan anazo $ 600 million.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,496 May 21, 2015 #2 1. Assets zote alizonazo; viwanda, nyumba, magari, cash in bank, etc