Huwa wanakokotoaje networth?

Huwa wanakokotoaje networth?

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
2,926
Reaction score
3,530
Husika na kiwa cha habari hapo juu. Naomba kufahamishwa jinsi ya kupata hii networth/utajiri wa mtu au kampuni, kwa mfano wanavyo sema Oprah ana $ 2.5 bn au shahrukhan anazo $ 600 million.
 
1. Assets zote alizonazo; viwanda, nyumba, magari, cash in bank, etc
 
Back
Top Bottom