Anajibu hovyo hovyo....Diamond akijibu wanamwita mswahili,YAANI MUNGU SIJUI TULIMKOSEA NINI SISI WATANZANIA.
Umaarufu wa wasanii uchwara wengi unategemea kuongelewa..... Huyu nae hana jipya mil 500 zimeishia katikati ya mapaja
kweli nyie sio wa mchezo mchezoUmaarufu wa wasanii uchwara wengi unategemea kuongelewa..... Huyu nae hana jipya mil 500 zimeishia katikati ya mapaja
Acha awape umaarufu si wanautafuta kupitia yeye, kama poz kwa pozzz nadhani wiki hii itakuwa ni mafuriko ya watejaNachompendea jamaa mondi akichokozwa tu hawezi jizua anaharisha tu pasipo kujua faida na madhara yake....
jamaa hajui tu kama akiamua kukaa kimya wengi sana wasingepata umaarufu wa kuzungumzwa mitandaoni
Mchukie tu haikusaidii kitu,Mungu ndo kashampa.Anajibu hovyo hovyo....
Nimemchukia ghafla
Na akiwajibu tu utasikia diamond mswahili, acha awe mswahili make uzungu wa kukaa kimya unachoshakatika wasanii wavumilivu sana katika kutukanwa basi diamond nimvumilivu ila siku akiamua kujibu basi atajibu kweli.
Aisee kabl hujamchukia ebu vaa nafasi yake alafu wazia reaction ungetoa kusingiziwa kila ubaya wakati upo kimya tu. Mtu anatia juhudi then anaambiwa ananunua sijui kila kitu, mara hana lolote mjanja mjanja. Sometime acha awajibu wapunguze kumpanda kichwani. We unafikiri Ommy ataendelea kuweka caption zake zile za mafumbo mafumbo kwa majibu ya Jana. Na wengn watajifunz piaAnajibu hovyo hovyo....
Nimemchukia ghafla
Tatizo lako ukimpenda mtu huwezi kumkosoa anapokosea..Mchukie tu haikusaidii kitu,Mungu ndo kashampa.
Kwa jinsi nilivyomsikiliza Ommy nimegundua kwamba jamaa amevumilia mengi kwa Mondi...Aisee kabl hujamchukia ebu vaa nafasi yake alafu wazia reaction ungetoa kusingiziwa kila ubaya wakati upo kimya tu. Mtu anatia juhudi then anaambiwa ananunua sijui kila kitu, mara hana lolote mjanja mjanja. Sometime acha awajibu wapunguze kumpanda kichwani. We unafikiri Ommy ataendelea kuweka caption zake zile za mafumbo mafumbo kwa majibu ya Jana. Na wengn watajifunz pia
Mimi toka mwanzo nilijua wanao mchokonoa Diamond wanatumwa na timu fulani ili wapate kiki maana hawawezi kuuza bila kumchokoza D....Sasa kama huyu analazimisha kuongelwa.Umaarufu wa wasanii uchwara wengi unategemea kuongelewa..... Huyu nae hana jipya mil 500 zimeishia katikati ya mapaja
Tatizo lako ukimpenda mtu huwezi kumkosoa anapokosea..
Na sio wewe tu bali wengi wako kama wewe[/QU
Nioneshe popote pale ulipomkosoa OMMY dimpoz aliposema watu wananunua views,ili nijue wewe siyo hater,ACHA KUMCHUKIA MWANAUME MWENZAKO,UTAKUFA NA CHUKI.Tatizo lako ukimpenda mtu huwezi kumkosoa anapokosea..
Na sio wewe tu bali wengi wako kama wewe
Naona wanaunganisha nguvu Kiba, wema, jokate na dimpoz ha ha haMimi toka mwanzo nilijua wanao mchokonoa Diamond wanatumwa na timu fulani ili wapate kiki maana hawawezi kuuza bila kumchokoza D....Sasa kama huyu analazimisha kuongelwa.
Lakini Diamond ameanza kunifurahisha dawa ya moto ni moto ni kuwapa dawa mpaka wanaomba interview....
Hivi yule kwenye interview yake alijibu lile Dongo la Diamond kuhusu mambo ya ukanda wa pwani?
Mh! Ila Mkuu hiki ki2 kinanipa ukakasi kwa sababu huwa najiuliza ni kweli mUmaarufu wa wasanii uchwara wengi unategemea kuongelewa..... Huyu nae hana jipya mil 500 zimeishia katikati ya mapaja
Mil 500 zote kat*mbeaMh! Ila Mkuu hiki ki2 kinanipa ukakasi kwa sababu huwa najiuliza ni kweli m
500 hajafanya chochoteeee..
Mh! Mkuu mbona unagongea msumari hivyo?Mil 500 zote kat*mbea
Akabaki na mipango tu mara nafungua kampuni niajiri watu 20, mara apost kigorofa kumbe sio chake, mara anampango wa kununua private jet pyeeee na sura ake ndefu kama jani la mgomba
   nyundo ninayo acha nigonge tu  😀😀😀😀😀😀Mh! Mkuu mbona unagongea msumari hivyo?
Tatizo la hwa ndugu zetu drama nyingi na wanasahau walipotoka   nyundo ninayo acha nigonge tu  😀😀😀😀😀😀