Huwa wanamchokoza wenyewe

Huwa wanamchokoza wenyewe

Nachompendea jamaa mondi akichokozwa tu hawezi jizua anaharisha tu pasipo kujua faida na madhara yake....
jamaa hajui tu kama akiamua kukaa kimya wengi sana wasingepata umaarufu wa kuzungumzwa mitandaoni
Acha awape umaarufu si wanautafuta kupitia yeye, kama poz kwa pozzz nadhani wiki hii itakuwa ni mafuriko ya wateja
 
Anajibu hovyo hovyo....
Nimemchukia ghafla
Aisee kabl hujamchukia ebu vaa nafasi yake alafu wazia reaction ungetoa kusingiziwa kila ubaya wakati upo kimya tu. Mtu anatia juhudi then anaambiwa ananunua sijui kila kitu, mara hana lolote mjanja mjanja. Sometime acha awajibu wapunguze kumpanda kichwani. We unafikiri Ommy ataendelea kuweka caption zake zile za mafumbo mafumbo kwa majibu ya Jana. Na wengn watajifunz pia
 
Kwa jinsi nilivyomsikiliza Ommy nimegundua kwamba jamaa amevumilia mengi kwa Mondi...
Amejishusha sana....
Yani mi nisingeweza kabisa.
Ommy yuko fair sana
 
Umaarufu wa wasanii uchwara wengi unategemea kuongelewa..... Huyu nae hana jipya mil 500 zimeishia katikati ya mapaja
Mimi toka mwanzo nilijua wanao mchokonoa Diamond wanatumwa na timu fulani ili wapate kiki maana hawawezi kuuza bila kumchokoza D....Sasa kama huyu analazimisha kuongelwa.
Lakini Diamond ameanza kunifurahisha dawa ya moto ni moto ni kuwapa dawa mpaka wanaomba interview....
Hivi yule kwenye interview yake alijibu lile Dongo la Diamond kuhusu mambo ya ukanda wa pwani?
 
Tatizo lako ukimpenda mtu huwezi kumkosoa anapokosea..
Na sio wewe tu bali wengi wako kama wewe[/QU
Tatizo lako ukimpenda mtu huwezi kumkosoa anapokosea..
Na sio wewe tu bali wengi wako kama wewe
Nioneshe popote pale ulipomkosoa OMMY dimpoz aliposema watu wananunua views,ili nijue wewe siyo hater,ACHA KUMCHUKIA MWANAUME MWENZAKO,UTAKUFA NA CHUKI.
 
Mimi toka mwanzo nilijua wanao mchokonoa Diamond wanatumwa na timu fulani ili wapate kiki maana hawawezi kuuza bila kumchokoza D....Sasa kama huyu analazimisha kuongelwa.
Lakini Diamond ameanza kunifurahisha dawa ya moto ni moto ni kuwapa dawa mpaka wanaomba interview....
Hivi yule kwenye interview yake alijibu lile Dongo la Diamond kuhusu mambo ya ukanda wa pwani?
Naona wanaunganisha nguvu Kiba, wema, jokate na dimpoz ha ha ha
Shilawaduuuu eti simu inapumuliwa jamani nimecheka sana
Screenshot_2016-11-24-23-21-30.png
 
Umaarufu wa wasanii uchwara wengi unategemea kuongelewa..... Huyu nae hana jipya mil 500 zimeishia katikati ya mapaja
Mh! Ila Mkuu hiki ki2 kinanipa ukakasi kwa sababu huwa najiuliza ni kweli m
500 hajafanya chochoteeee..
 
Mil 500 zote kat*mbea
Akabaki na mipango tu mara nafungua kampuni niajiri watu 20, mara apost kigorofa kumbe sio chake, mara anampango wa kununua private jet pyeeee na sura ake ndefu kama jani la mgomba
 
Mh! Mkuu mbona unagongea msumari hivyo?
 
Back
Top Bottom