Huwa wanamchokoza wenyewe

Huwa wanamchokoza wenyewe

Mil 500 zote kat*mbea
Akabaki na mipango tu mara nafungua kampuni niajiri watu 20, mara apost kigorofa kumbe sio chake, mara anampango wa kununua private jet pyeeee na sura ake ndefu kama jani la mgomba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Eti sura ndefu kama jani la mgomba
 
Mimi toka mwanzo nilijua wanao mchokonoa Diamond wanatumwa na timu fulani ili wapate kiki maana hawawezi kuuza bila kumchokoza D....Sasa kama huyu analazimisha kuongelwa.
Lakini Diamond ameanza kunifurahisha dawa ya moto ni moto ni kuwapa dawa mpaka wanaomba interview....
Hivi yule kwenye interview yake alijibu lile Dongo la Diamond kuhusu mambo ya ukanda wa pwani?
Huyo ummy ni mjinga n kilaza anaingilia ugomvi ambao sio wke istoshe yeye,kibakuli,wema wote wanamshambulia chibu hamna hata mmoja wao anakaa kwake wote wamepanga,istoshe la kupumuliwa hata ney aliimba kuhusu ummy kua n mchicha mwiba
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mahojiano ya Ommy amesababisha Madale wamenuniana wao kwa wao.
 
Mil 500 zote kat*mbea
Akabaki na mipango tu mara nafungua kampuni niajiri watu 20, mara apost kigorofa kumbe sio chake, mara anampango wa kununua private jet pyeeee na sura ake ndefu kama jani la mgomba
Hahhahahah eve acha bhana sista hahahhahahah[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ahahahahahahahh.............Evelyn Salt umenivunja mbav aisee! duuuuu!!!!!
 
Nachompendea jamaa mondi akichokozwa tu hawezi jizua anaharisha tu pasipo kujua faida na madhara yake....
jamaa hajui tu kama akiamua kukaa kimya wengi sana wasingepata umaarufu wa kuzungumzwa mitandaoni
Nani alianza kumtusi mwenzie kati ya Diamond na Ommy ?Diamond alianzisha matusi matokeo yake kamvua mamaake nguo.Akili ni nywele
 
Katika swala la viwanda na elimu hapa new york tanzania ,soka limekuwa gumu mpaka siasa inafanyika chooni
 
Naona wanaunganisha nguvu Kiba, wema, jokate na dimpoz ha ha ha
Shilawaduuuu eti simu inapumuliwa jamani nimecheka sana View attachment 439095
hahahahahahahaha Sudi atapigwa Risasi noma sana... hadi leo huwa siamini kama kweli eti Dimpoz leo hii anasema Diamond alikuwa hapendi mafanikio yake..teh teh
 
Nimefurah kuona jf wote ni watetez wa Simba tuendelee WATANYOOKA TU
 
Back
Top Bottom