Huwajui Vizuri Wanawake Wa Mjini Wewe??

Huwajui Vizuri Wanawake Wa Mjini Wewe??

Wanawake Wa Mjini Sio wa Kuwawekea Wivu Hata
Kidogo
Unaweza Kuumwa Kila siku
Ukimpenda Mpende Ila usiweke Moyo wote Kwake
Hawajui Kulima ila Wanajua kuvuna..!

Naunga mkono hoja........................
 
Si wa mjini tu na hata wa vijijini... Ukijifanya unapenda penda, kila siku utaugua ugonjwa wa moyo bure....
 
Sina tabia ya kupenda_ huwa natamani tu.
Of which ni best practice kwa wanawake wa siku hizi....na hii tabia haijawahi kuniangusha....promise ntakufa nayo.
i second you
 
Kweli mapenzi yalikuaga zamani
sasa Ni mwendo wakuliana timing Tu ukilegalega unawekwa kando safari inaendelea na mwingine.
 
Kwa wale Wakristo wenzangu: 1 Yohana 4:8 Mtu asiye na upendo hamjui Mungu, maana Mungu ni upendo.
 
Mjini nampenda navokuwa nae tu apo ataona upendo ila akrud kwakwe sinahabar nae tena hadi genye zengne
 
Back
Top Bottom