Wanawake Wa Mjini Sio wa Kuwawekea Wivu Hata
Kidogo
Unaweza Kuumwa Kila siku
Ukimpenda Mpende Ila usiweke Moyo wote Kwake
Hawajui Kulima ila Wanajua kuvuna..!
i second youSina tabia ya kupenda_ huwa natamani tu.
Of which ni best practice kwa wanawake wa siku hizi....na hii tabia haijawahi kuniangusha....promise ntakufa nayo.
Pesamjini wanavuna nini