Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Wa nchi gani huyu??
Papai kabisa hili
Kuna taarabu ya zamani sina uhakika kama ya Kenya au Zanzibar ina maneno '... Kujiremba na kusuka nyele ni fahari ya bwana....' nafikiri hata kwa huyu nia ni hiyo hiyo!
Hapana hiyo ni style ya watoto wa kike wadogo.Jamaa kasuka style tuliyozoea kuiona kwa wanawake kbsa😂
Inaitwaje kumbe? Kwetu nasikiaga wakiita puscat😂Hapana hiyo ni style ya watoto wa kike wadogo.