Nayo imegoma mkuu
Pole mkuu, nilikuwekea nokia 1280 a.k.a nokia ya tochi.Nayo imegoma mkuu
Yesuuu wangu kumbe huku jf unaweza mtukana babu yako bila kujua....92???????? yaani hata kufikiriwa sijajuaDuh umenikumbusha mbali aisee.. first time nimeangalia hiyo movie ilikua mwaka 92 na sikulala usiku...
inasikitisha sana
Amekaa kidumedume.Picha hizo zikionyesha jinsi alivyokuwa ktk uhusika wake ktk Hatya kama mtoto wa kiume, na nyingine ikimwonyesha nje ya filamu!
Anaitwa Sujitha, alizaliwa 12/7/1983! Mume wake anaitwa Dhanush, ana watoto wawili! Alicheza hatya mwaka 1988!
Kweli wadosi nimewakubali aisee kwa mautundu!
View attachment 316308
Akiwa mtoto kwenye filamu. (wa kiume)
View attachment 316309
Alivyo sasa..
Kwani wewe una umri gani... Mbona umeshtuka sana? 92 mimi nilikua std 4. So if ur clever enoug you can guess on my age.Yesuuu wangu kumbe huku jf unaweza mtukana babu yako bila kujua....92???????? yaani hata kufikiriwa sijajua
Movie za kuchungulia dirishani nimecheki sana banda umiza....mimi 2006 ndo nipo darasa la 4 jus imagineKwani wewe una umri gani... Mbona umeshtuka sana? 92 mimi nilikua std 4. So if ur clever enoug you can guess on my age.
Hyo movie ilitubamba sana watoto enzi hzo... Tena kwa kuchungulia madirishani..
Ndo muwe mna comment kwa adabu kwa kuzingatia uzito wa hoja. Mihemko wekeni pembeniYesuuu wangu kumbe huku jf unaweza mtukana babu yako bila kujua....92???????? yaani hata kufikiriwa sijajua
niliipenda sana hii picha
You are 36 yrs nowKwani wewe una umri gani... Mbona umeshtuka sana? 92 mimi nilikua std 4. So if ur clever enoug you can guess on my age.
Hyo movie ilitubamba sana watoto enzi hzo... Tena kwa kuchungulia madirishani..
You are 36 yrs now
Hasa huyo mtotoalivyoweza watambua wauaji wa wazazi wakenililia sanaaa alivyokua akiteseka ..