data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Hasa huyo mtotoalivyoweza watambua wauaji wa wazazi wake
Nimekumbuka mbali sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasa huyo mtotoalivyoweza watambua wauaji wa wazazi wake
Hili nalo neno, uko sahihi. Lakini kuweka avatar fake na ID fake kunasaidia mengi when it comes to talk openly.Sawa baba...tunaposema mweke avatar halisi na majina ya ukweli mnagoma mna tegemea nini?????mbn le mutuz tunamheshimu[emoji1] [emoji1]
akiwa na sterling wake GovindaNimekumbuka mbali sana.
kwan le mutuz yupo humu?Sawa baba...tunaposema mweke avatar halisi na majina ya ukweli mnagoma mna tegemea nini?????mbn le mutuz tunamheshimu[emoji1] [emoji1]
Kajaa tele, huwa anacomment kwenye nyuz zinazimuhusu na lazima uwe uzi uwe na comment za kutoshakwan le mutuz yupo humu?
Ndo maana Jf siku hizi imepoteza muelekeo watoto wamejaa sana humu ndani yani 92 ndo ushtuke kihivyo?Yesuuu wangu kumbe huku jf unaweza mtukana babu yako bila kujua....92???????? yaani hata kufikiriwa sijajua
ana tumia jina gani?Kajaa tele, huwa anacomment kwenye nyuz zinazimuhusu na lazima uwe uzi uwe na comment za kutosha
W. J Malecelaana tumia jina gani?
Yaah nimemuona ,mwingine mtu maarufu humu JF nan?W. J Malecela
Yesuuu wangu kumbe huku jf unaweza mtukana babu yako bila kujua....92???????? yaani hata kufikiriwa sijajua
HihihihiMuongo huyo dogo anaitwa Aftab Shrivsadan km sikosei kuna movie yake imetoka hapa juzi tu!!mwanzo wa mwaka huu!
We hustahili jf bado rudi fbMovie za kuchungulia dirishani nimecheki sana banda umiza....mimi 2006 ndo nipo darasa la 4 jus imagine
Kwani wewe una umri gani... Mbona umeshtuka sana? 92 mimi nilikua std 4. So if ur clever enoug you can guess on my age.
Hyo movie ilitubamba sana watoto enzi hzo... Tena kwa kuchungulia madirishani..
Mie for the first time 89 ndo naiona hapo Nina kama 10 yrs movie yangu ya kwanza kuitazama ni ANDHAA KANOON ya Amita mwaka 84Yesuuu wangu kumbe huku jf unaweza mtukana babu yako bila kujua....92???????? yaani hata kufikiriwa sijajua
duuuh we kiboko ,hv kuna mwigizaji wa kihindi usiyemjua?Muongo huyo dogo anaitwa Aftab Shrivsadan km sikosei kuna movie yake imetoka hapa juzi tu!!mwanzo wa mwaka huu!
wapo wengi wa siku hizi siwajui!duuuh we kiboko ,hv kuna mwigizaji wa kihindi usiyemjua?
Shikamoo!!kaka[emoji113] [emoji113] [emoji113]Mie for the first time 89 ndo naiona hapo Nina kama 10 yrs movie yangu ya kwanza kuitazama ni ANDHAA KANOON ya Amita mwaka 84
amkia wakubwa zako looohh!Movie za kuchungulia dirishani nimecheki sana banda umiza....mimi 2006 ndo nipo darasa la 4 jus imagine