Huwezi Amini, Raja wa hatya kumbe Demu!

Huwezi Amini, Raja wa hatya kumbe Demu!

Sawa baba...tunaposema mweke avatar halisi na majina ya ukweli mnagoma mna tegemea nini?????mbn le mutuz tunamheshimu[emoji1] [emoji1]
Hili nalo neno, uko sahihi. Lakini kuweka avatar fake na ID fake kunasaidia mengi when it comes to talk openly.
Mi nafikiri tuheshimiane bila ya kujali avatar na ID zetu.
Tu-base kwenye hoja.
 
Yesuuu wangu kumbe huku jf unaweza mtukana babu yako bila kujua....92???????? yaani hata kufikiriwa sijajua
Ndo maana Jf siku hizi imepoteza muelekeo watoto wamejaa sana humu ndani yani 92 ndo ushtuke kihivyo?
 
Kwani wewe una umri gani... Mbona umeshtuka sana? 92 mimi nilikua std 4. So if ur clever enoug you can guess on my age.

Hyo movie ilitubamba sana watoto enzi hzo... Tena kwa kuchungulia madirishani..

Kikubwa watu waheshimiane, maana unaweza mkashifu hata baba au mama yako mzazi kutokana na kutojua avater yake, hizo move tuliangalia AVALON, EMPIRE nk.
 
Yesuuu wangu kumbe huku jf unaweza mtukana babu yako bila kujua....92???????? yaani hata kufikiriwa sijajua
Mie for the first time 89 ndo naiona hapo Nina kama 10 yrs movie yangu ya kwanza kuitazama ni ANDHAA KANOON ya Amita mwaka 84
 
Back
Top Bottom