Shikamoo zamani la kwanza miaka 8[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenizidi!!!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwani wewe una umri gani... Mbona umeshtuka sana? 92 mimi nilikua std 4. So if ur clever enoug you can guess on my age.
Hyo movie ilitubamba sana watoto enzi hzo... Tena kwa kuchungulia madirishani..
AaahWe hustahili jf bado rudi fb
Humu uje baada ya uchaguzi 2020[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
We ni kijana mdogo.Movie za kuchungulia dirishani nimecheki sana banda umiza....mimi 2006 ndo nipo darasa la 4 jus imagine
Sasa hivi yupo form one kama sikosei[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Aaah
Mkuu hiyo ni kweli kama 2006 alikuwa la 4!!!
Hapa jf ana tafta nn [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sasa hivi yupo form one kama sikosei[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Unapenda shikamoo hataramkia wakubwa zako looohh!
aisee bs hapa nadhan sio mahali pako!Movie za kuchungulia dirishani nimecheki sana banda umiza....mimi 2006 ndo nipo darasa la 4 jus imagine
nnastahiki hata wewe uniamkie!Unapenda shikamoo hatar