Huwezi amini SIMBA hiyooo! CAF

Huwezi amini SIMBA hiyooo! CAF

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,005
Reaction score
20,425
SIMBA:Klabu ya Esperance imethibitisha kwamba mchezaji Javier Besala Bokungu aliyeichezea Mazembe katika mchezo wa kwanza dhidi ya Simba ni mchezaji wao halali. Kwamujibu wa habari zilizopatika Tunisia asubuhi hii!!! Nitaendelea kufuatilia kwa makini ukweli halisi na kuwajuza
 
....sasa si 'ungefuatilia kwanza kwa makini ukweli halisi' ndipo uje na kichwa hiki cha habari??????

Kwa neno zima ni Mazembe imetupwa ama..?
 
simba kama imeshindwa kufaulu hapa.. na kwenda ushindi kwenye ushindi wa mezani huko mbele kwenye sidhani ata survive ,
 
mmmmmhhhhh.............mazembe si hao tumewasikia kuwa walijaribu kuwahonga ma match officials kule congo?..................inaonekana ni klabu inayopenda sana magumashi
 
mazembe wamezoea rushwa. kwani mwaka huu ni timu ya kawaida sana.imetumia jina tu kuitoa simba, ...na wekundu nao hawakupanga mahesabu vizuri tu...walikuwa saizi yetu kabisa....kama mgosi angefunga lile goli la mapema la kichwa....hakika wangechanganyikiwa..na kuongezwa kibao
 
simba kama imeshindwa kufaulu hapa.. na kwenda ushindi kwenye ushindi wa mezani huko mbele kwenye sidhani ata survive ,

Lakini haki itendeke.hata kama haita survive huko mbele, wapewe tu haki yao. vijana walijitahidi
 
matokeo lazima yaheshimiwe. tim ipewe fain au mmchezaji afungiwe. kwani walicheza 12?
 
hawa jamaa wamejribu kuhonga marefa , na wamewalipa wachezaji wa yanga buku kumi kumi ili wawashangilie , hii klabiu inapenda sana vitu vya short kati
 
Nijuavyo mimi ni kuwa, kabla ya mpira kuanza, wachezaji hukaguliwa na kuangaliwa leseni zao, picha, e.t.c. Sasa kama hao waliokataa rushwa hawakuwa makini ni wao wenye makosa, mchezaji au timu ina makosa gani??
 
Na mimi ndipo kwenye swali ilikuwaje akaruhusiwa kucheza...
 
Back
Top Bottom