Huwezi amini SIMBA hiyooo! CAF

Huwezi amini SIMBA hiyooo! CAF

Oooh! Simba na ndoto ya mchana, kama mazembe wanapenda kuhonga mbona Ulimboka alifanya nini kabla ya mechi ya Simba na Mtibwa? Kama haya msemayo ni kweli si mpeleke malalamiko CAF! hahahah Mbaazi ikikosa maua....
 
hawa jamaa wamejribu kuhonga marefa , na wamewalipa wachezaji wa yanga buku kumi kumi ili wawashangilie , hii klabiu inapenda sana vitu vya short kati

jamani si mngeshinda mechi basi!!
 
Umoja=mzembe, wingi=wazembe, wingi wa wakubwa wenye akili=Mazembe!
 
Hapa wananikumbusha mechi ya Fainali na Stella Abidjan, viongozi wa simba walikuja na ulevi kama huu huu, Eti, stella watanyang'anywa kombe wapewe simba, kisa eti mchezaji Boli zozo anachezea Ufaransa, basi kudadadeki wakaletewa Boli Zozo watatu ili waseme wanamkatia rufaa yupi!Simba ilishapoteza mwelekeo siku waliyomchaguwa Rage kuwa mwenyekiti, mwenye notebook aandike hili, msitegemee maendeleo yoyote Simba chini ya viongozi wezi na mataperi wa aina ya Rage.
 
Yaani ulivyoandika hapo juu kwenye heading utadhani CAF tayari wamekaa na kupitisha maamuzi....lol

Simba be ware of Ismail Aden Rage,ni mpotoshaji na mbabaishaji aliyetukuka,anawapotosha huyu....Alianza na ishu ya waamuzi kuhongwa kaona haina mashiko sasa kaja na ishu ya J.B Bokungu.....Anachofanya Rage ni kujaribu kuzitumia nchia za kiarabu ambazo kimsingi haziipendi TP Mazembe kuiangamiza TPM.Ikumbukwe kwamba kabla nchi za Misri,Tunisia na Morocco ndo zilikuwa zikitamba sana katika kuchukua CL na Winners Cup na kuibuka kwa Mazembe miaka miwili iliyopita na kuchukua CL mara 2 mfululizo ikiwa ni pamoja na kuilamba Esperance magoli 5-0 kumezifanya nchi hizi zizidi kuichukia TPM kiasi kwamba wameanza kutoa vipingamizi mradi tu kuiangamiza TPM...

Sidhani kama TPM watakuwa wazembe kiasi cha kumchezesha JB Bokungu bila kuwa na ITC toka Tunisia......Let's wait and see

Hongereni kwa kupata 'nafasi' ya uchee kuendelea na CL
 
Jamani hiyo sio ligi ya Vodacom...si mara zote makosa kama hayo yakitokea ni kuwa timu itatolewa....
 
Aminini hivyo mpaka dk hii simba imeshawasilisha rasmi caf juu ya hilo! Hivyo simba imewasilisha kesi mbili yakuhonga na kumchezesha huyo bwanamdogo!!
 
Back
Top Bottom