Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
SIMBA:Klabu ya Esperance imethibitisha kwamba mchezaji Javier Besala Bokungu aliyeichezea Mazembe katika mchezo wa kwanza dhidi ya Simba ni mchezaji wao halali. Kwamujibu wa habari zilizopatika Tunisia asubuhi hii!!! Nitaendelea kufuatilia kwa makini ukweli halisi na kuwajuza
simba kama imeshindwa kufaulu hapa.. na kwenda ushindi kwenye ushindi wa mezani huko mbele kwenye sidhani ata survive ,
matokeo lazima yaheshimiwe. tim ipewe fain au mmchezaji afungiwe. kwani walicheza 12?
matokeo lazima yaheshimiwe. tim ipewe fain au mmchezaji afungiwe. kwani walicheza 12?
matokeo lazima yaheshimiwe. tim ipewe fain au mmchezaji afungiwe. kwani walicheza 12?
Mpenzi wa Yanga huyu.....!
Na mimi ndipo kwenye swali ilikuwaje akaruhusiwa kucheza...Nijuavyo mimi ni kuwa, kabla ya mpira kuanza, wachezaji hukaguliwa na kuangaliwa leseni zao, picha, e.t.c. Sasa kama hao waliokataa rushwa hawakuwa makini ni wao wenye makosa, mchezaji au timu ina makosa gani??
Ndugu kuruhusiwa kucheza si ndio hayo magumashi yenyewe waliyoyafanya..Na mimi ndipo kwenye swali ilikuwaje akaruhusiwa kucheza...
Mpira ni uwanjani. Tusitegemee huruma.