Hapa wananikumbusha mechi ya Fainali na Stella Abidjan, viongozi wa simba walikuja na ulevi kama huu huu, Eti, stella watanyang'anywa kombe wapewe simba, kisa eti mchezaji Boli zozo anachezea Ufaransa, basi kudadadeki wakaletewa Boli Zozo watatu ili waseme wanamkatia rufaa yupi!Simba ilishapoteza mwelekeo siku waliyomchaguwa Rage kuwa mwenyekiti, mwenye notebook aandike hili, msitegemee maendeleo yoyote Simba chini ya viongozi wezi na mataperi wa aina ya Rage.