Huwezi kua baba wa familia halafu watoto na wake zako wanakupanda kichwani

murthehelp

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
193
Reaction score
160
Iko hivi kila mzazi na mlezi hajawahi kuwaombea vibaya anao waleo. Ukiona imefika kipindi kila mmoja kwenye famila yako, ina maana wale wote unaowalisha wanakupanda kichwani jua kuna mtu nje ya nyumba yako anawapa jeuri.

Siasa ya Tanzania sio ngeni machoni mwa watanzania wote walio barehe na wasio barehe. Kila raisi anaeingia muhula mpya hatujawahi muona anafanya la maana, hadi atakapo ondoka. Kwa nini tunamuona wa maana baada ya kuondoka ni kwasababu tumeshikwa masikio na kudanganywa na watu ambao hawajui tunakula nini, hawajui tuna lalaje, na wala hawajui kesho yetu tunaionaje.

Mama kama ujumbe huu ukikufikia mimi ni raia wa Tanzania na ni mtanzania wa kuzaliwa Tanzania. Endelea kuchapa kazi lakini pia watu wanao kuzunguka kua nao makini, Tumia akili yako zaidi kuliko kuwapa ushauri wakushauri, Chapa kazi hasa hasa na yoyote anaepiga kelele mpuuze kwakua hachangii chochote kwenye uchumi wetu na wala hajui uchungu ambao kiongozi anapitia.

Wananchi walikuchagua na wewe ndio mwenye mamlaka kwenye kipindi hiki, Fanya kazi raisi wangu. Endelea hivo hivo. 🙏🙏🙏
 
Siasa ya Tanzania sio ngeni machoni mwa watanzania wote walio barehe na wasio barehe. Kila raisi anaeingia muhula mpya hatujawahi muona anafanya la maana, hadi atakapo ondoka. Kwa nini tunamuona wa maana baada ya kuondoka ni kwasababu tumeshikwa masikio na kudanganywa na watu ambao hawajui tunakula nini, hawajui tuna lalaje, na wala hawajui kesho yetu tunaionaje. Mama kama ujumbe huu ukikufikia mimi ni raia wa Tanzania na ni mtanzania wa kuzaliwa Tanzania. Endelea kuchapa kazi lakini pia watu wanao kuzunguka kua nao makini, Tumia akili yako zaidi kuliko kuwapa ushauri wakushauri, Chapa kazi hasa hasa na yoyote anaepiga kelele mpuuze kwakua hachangii chochote kwenye uchumi wetu na wala hajui uchungu ambao kiongozi anapitia.

Wananchi walikuchagua na wewe ndio mwenye mamlaka kwenye kipindi hiki, Fanya kazi raisi wangu. Endelea hivo hivo. 🙏🙏🙏
Ssh SI Mamaetu,

Kila mtu ana mama yake,

Hata wewe ndugu ThisisDenis una mamako.

Ssh ni Mwajiriwa wa watz,

Watanzania tuna UWEZO na haki ya kummkosoa na kumkataa pia.

No Reforms no Election 💪 🔥
 
Iko hivi kila mzazi na mlezi hajawahi kuwaombea vibaya anao waleo. Ukiona imefika kipindi kila mmoja kwenye famila yako, ina maana wale wote unaowalisha wanakupanda kichwani jua kuna mtu nje ya nyumba yako anawapa jeuri.

Siasa ya Tanzania sio ngeni machoni mwa watanzania wote walio barehe na wasio barehe. Kila raisi anaeingia muhula mpya hatujawahi muona anafanya la maana, hadi atakapo ondoka. Kwa nini tunamuona wa maana baada ya kuondoka ni kwasababu tumeshikwa masikio na kudanganywa na watu ambao hawajui tunakula nini, hawajui tuna lalaje, na wala hawajui kesho yetu tunaionaje.

Mama kama ujumbe huu ukikufikia mimi ni raia wa Tanzania na ni mtanzania wa kuzaliwa Tanzania. Endelea kuchapa kazi lakini pia watu wanao kuzunguka kua nao makini, Tumia akili yako zaidi kuliko kuwapa ushauri wakushauri, Chapa kazi hasa hasa na yoyote anaepiga kelele mpuuze kwakua hachangii chochote kwenye uchumi wetu na wala hajui uchungu ambao kiongozi anapitia.

Wananchi walikuchagua na wewe ndio mwenye mamlaka kwenye kipindi hiki, Fanya kazi raisi wangu. Endelea hivo hivo. [emoji120][emoji120][emoji120]
pumbavu wewe na huyo nyanya wako, nani alimchagua first of all? huo uchaguzi ulomchagua yeye ulifanyika lini we chawa uliekosa akili?
 
Wakati unamchagua Raisi Magufuli hukumuona pembeni yake kenye picha kama mgombea mwenza ?
 
Ssh SI Mamaetu,

Kila mtu ana mama yake,

Hata wewe ndugu ThisisDenis una mamako.

Ssh ni Mwajiriwa wa watz,

Watanzania tuna UWEZO na haki ya kummkosoa na kumkataa pia.

No Reforms no Election 💪 🔥

Huwezi kuelewa kwa sasa ila mbeleni utaelewa tu.
 
Wakati unamchagua Raisi Magufuli hukumuona pembeni yake kenye picha kama mgombea mwenza ?
Achana nao wajinga tunkwa nn waliwapa kura s wangemtoboa macho ukiambiwa watz wajinga ndo kamanhawa wanaosema hawakumchagua samia
 
Back
Top Bottom