Huwezi kuamini...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Magonjwa Mtambuka yameibuka huko Lizaboni hasahasa stroke. Inasemekana kuwa Magonjwa Mtambuka hayo yanasabishwa na Sumu kama sumu-ya-panya na kadhalika. Mmoja wa walioathirika ni Kada wa CHADEMA na hata Kada mwandamizi wa CCM.

Inasemwa kuwa mambo hayo ni Heaven Sent na yanahitaji Heaven Doctor na kuwa Heaven on Earth . Kiranga chetu kimetuponza. Yatupasa kumrudia Nguruvi3 ili atusaidie. Katika sehemu nyingine, Watu kama Watu8 hivi wako MOTOCHINI na wanaendelea na michapo yao.

Huwezi kuamini...

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
 
Duh, acha kupakazia watu wapenda amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…