Huwezi kubeza usajili wa Yanga kama una akili timamu - Meck Mexime

Huwezi kubeza usajili wa Yanga kama una akili timamu - Meck Mexime

Simba wana jivunia Ndumba, Ulozi, rushwa Kwa marefalii ndio maana wamerundika wachezaji wazee tena wagonjwa lakini wanakwambia wanataka wacheze nusu fainal klabu bingwa Afrika.
 
Amewapa makavu, ngoja wawabakize wale wakongwe waanze kumpiga misumali Moses phiri utashangaa kiwango chake kitapoishia🤣🤣 🤣🤣 keshatestiwa uko mechi ya kirafiki iliyochezwa jana kaumia akatolewa, hizo ni rasharasha mvua halisi inakuja🤣🤣
 
Kuna ukweli kwenye hili andiko, kuna wachezaji inabidi waotolewe no doubt, walitufelisha mwaka jana. Daaah.
 
Hivi tangu lini bambukicha wakapata akili hao?
Mexime anapigia mbuzi gitaa
 
Amewapa makavu, ngoja wawabakize wale wakongwe waanze kumpiga misumali Moses phiri utashangaa kiwango chake kitapoishia[emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787] keshatestiwa uko mechi ya kirafiki iliyochezwa jana kaumia akatolewa, hizo ni rasharasha mvua halisi inakuja[emoji1787][emoji1787]
Ila itakua kweli ,, kuna kipindi nilisikia ngasa na kaseke walikua wanawapiga misumari wenzao[emoji1787]
 
Back
Top Bottom