Huwezi kuepuka kuichangia CCM kama unaishi Tanzania.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Sisi tuna watu, sisi tuna serikali. Makampuni, Viwanda na Taasis hazithubutu kuenda kinyume na matakwa yetu.

Tunaweza waambia tu watu wa Bank waongeze makato kwenye huduma zao. Yakaongezeka. Tunaweza waambia watu Mitandao ya Simu wakaongeza gharama za bundle au data. Tunaweza waambia watu wa Ving'amuzi wakaongeza hata 500 tukakusanya. Tanesco wanaweza ongeza.

Mafuta tunaweza ongeza. Yaani kwa ufupi tupo vizuri kila idara CCM ina pesa na ina watu wanapesa. Ni kuamuru tu iongezwe kodi au tozo sehemu na kila mtanzania akatuchangia. Awe itikadi, imani au mlengo wowote ule.

Kama unabisha fuatilia wapi na nini kimeongezeka inawezekana hujui sababu hufuatilii mambo.
 
Wewe utakuwa huyu
IMG_2281.jpeg
 
Kauli kama hizi hazikijengi chama, zinakibomoa!
 
Ndoo maana unaona tunalia na no reform no election sababu ya upuuzi kama huu mapembe yamekuwa makubwa
 
Back
Top Bottom