Huwezi kuichafua oil chafu, itakuchafua. RIP Dkt. Magufuli

Hatumchukulii Kama mungu ila tunaheshimu Mambo mazuri aliyafanya kwenye kipindi chake Yale mabaya tunamsamehe alikua no binadamu lakini hatutaki kumuhukumu hata wewe ukiwa Rais hautowafurahisha wote mkuu
Utazidi kuumia sana utawala huu maana tushaamua kuwabwaga mataga woote hamna nafasi tena.
 
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.

Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.



Nawasilisha
 
Sasa Magufuli ana mafanikio gani? Labda kuwaita nyie wanyonge na mkakubali.

Mungu anisamehe bure, yule mtu angeongeza miaka 4 iliyobakia Tanzania ingekuwa nchi ya HOVYO sana. Muache akae Jehanam anΓ ko stahili
 

Angekuwa na watu angenajisi box la kura? Kama wananchi wa nchi hii wangekuwa na uwezo wa kuona mambo yanakwenda kombo na kuchukua hatua, wangeanza na yeye kuhusu ajira. Kama walikuwa wanapangwa akiwa madarakani wamshangilie, ngoja wajifanye wanahoji kama hawajaishia jela na wengine kubaki na vilema vya maisha.
 

Hata wakoloni walikuwa na miradi kibao nchi hii, mbona hatukaharibu miradi yao kama reli, mahospitali, shule, mahakama nk wakati tulikuwa tulikuwa tunawachukia? Hakuna mradi wowote amejenga kwa pesa yake bali ni pesa za umma. Hivyo mradi wowote alioacha usio na tija utapigwa chini. Sisi tunachojua mtu dhalimu hayupo tena, kwani Mungu kaamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagika fullstop.
 
Sasa mkuu unabisha nini na unasema nini? Mambo ya Nyerere si ndiyo mambo hayo ya miaka ya sabini au? Amini nakwambia mtu mshamba aka bush boy hawezi kukupeleka kwenye maendeleo zaidi ya kukudumaza kwenye ujima na unyonge.
 
Huyu boya katengenezwa kuharibu kwenye vichwa vya watu legacy ya magu kitu ambacho hataweza ametumwa hakuna kitu kipya je angekua magufuli yupo hai angeyasema haya?
Assad aliyasema akafukuzwa kazi.. The guy was a selfish thief.

Pale Chato Airport ndio basi tena itabaki story. Alijenga alijiandaa kutostaafu, ya Mungu mengi aisee.
 
Sasa mkuu unabisha nini na unasema nini? Mambo ya Nyerere si ndiyo mambo hayo ya miaka ya sabini au? Amini nakwambia mtu mshamba aka bush boy hawezi kukupeleka kwenye maendeleo zaidi ya kukudumaza kwenye ujima na unyonge.
Umaskini ulitamalaki.. Pumbavu ale vumbi huko na wasukuma wote tutawasafisha.

Tunaanza na yule Masanja wa TRC
 
Unataka CAG atoe report za kumsifia Magu?

Kajifunze majukumu ya auditor

Yaani sifa mlizokuwa mnatoa kwa miaka 5 hazitoshi?
 
warudishe na interview za sekretarieti ya ajira tufanyie dar
 
Bravo CAG. Sasa tuko MATHA=Make Tanzania Happy Again. MATAGA ilifeli na SIEGI amethibitisha. Ndiyo maana alibinya uhuru ili watu wasiseme maovu. Sasa tuko na uhuru tena na tutasema. Hiyo report ya CAG ndiyo uhalisia maana zilizopita alitaka ziandike mambo ya kufurahisha na kudanganya na hatimaye akapigana na Auditor wa Ukweli Assad. Sasa hakuna cha kificho maana Rais wetu aliyeko Madarakani ni mkweli na muwazi.
MATAGA kwisha Habari yake.
 
Acha kuleta ukabila hapa,wasukuma wamekufanyaje?
 
Mkuu,
Kikundi hiki kimejipanga mno:
1. Mama kapangwa,
2. Ndugai kashapangwa,
3. Baadhi ya Wabunge wanaendelea kupangwa.
Wanamudemonize hayati Magufuli kwa umma ili waanze kupiga.
Hukumbuki baadhi ya hawa hawa traitors kama wakina ndugai walitaka aongezewe miaka? Hivi kuna serikali yoyote duniani ni 100% free from corruption au wizi? The answer is a BIG NO!
Wahuni hawa baada ya kuminywa for almost 6 years, naona wamekuja kwa kasi kubwa mno.
Ni ngumu sana kufuta legacy ya Magu, watu tulishuhudia mambo makubwa ndani ya miaka5.
ILA MAMA NAYE MNAFIKI, REMOTE KUTOKA MSOGA IMESHAMKAMATA HUYO. UNAFIKI WAKE UTAMUUMBUA TU.
 
I think the country needs reconciliation to removt all the divisions and hatred created by awamu ya tano na madharao yote yaliyoletwa na Slowsliw na mwenzake!!!! Poleni wananchi!! Tafadhalikataeni kuitwa wanyonge!! Waambiwniviongozi sisini wakulima, wafanyakazi na wafanyi biashara!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…