Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
hajatengenezwa. nothing but plain fact. oh and good news ni kwamba jpm alimchagua.Huyu boya katengenezwa kuharibu kwenye vichwa vya watu legacy ya magu kitu ambacho hataweza ametumwa hakuna kitu kipya je angekua magufuli yupo hai angeyasema haya?
CAG anafanya ukaguzi kwa mujibu wa sheria za manunuzi ya serikali. na hata katiba inamtamhua.
tofauti na vyeo vingine, CAG si mwanasiasa, hana chama, ni mkaguzi wa mapato na matumizi ya serikali.
na hafanyi kazi mwenyewe,ana ofisi yake na team yake. na kumbuka haya mahesabu wanatoa taasisi husika. yaani taasisi husika ndio zina handover mahesabu yake kwa CAG.
alichokitoa ndio picha halisi, Plain facts.