Huwezi kuichafua oil chafu, itakuchafua. RIP Dkt. Magufuli

Unaelewa kazi ya CAG wewe?? Kwa nini hii nchi ina watu wajinga hivi!
Kwa faida yako fahamu Kazi ya CAG ni kukagua fedha za umma zimotokaje na zimetumikaje kulingana na sheria za manunuzi. Kama zimetoka kwa utaratibu wa hovyo au zimeibiwa anapaswa kuonyesha hivyo kwenye ripoti na kutoa hati chafu ikibidi. Kama zimetoka kwa utaratibu unaofaa kisheria anatoa hati safi.

Sio kazi yake kusifia pale sheria ilipofatwa, hiyo ni kazi yako wewe na wengine mnaofikiri Kiongozi akitumia kodi zenu kwa mujibu wa sheria amewafanyia hisani hivyo inabidi asifiwe.
 
Naona kuna oparation ya kumchafua Rais Magufuli nawaambie Magufuli kaacha vitu vinayoonekana.

Nashauri wanaomchafua wabomoe
Ikulu ya Dom
Stend za mabasi alizojenga.
Wabomoe SGR
Wabomoe bwawa la umeme
Wabomoe daraja jipya Salenda
Wabomoe daraja la Busisi
Wachome ndege
Wabomoe ma fly over
Wabomoe barabara zote nchini alizojenda
Wabomea viwanja vya ndege alivyojenda
Haha
 
Ni hivi wanajamvi kwa heshima nawasalimu najua hamjambo jambo ninaloweza kuchangia ni kwamba hawa wanachofanya ni kitu simple sana magufuli alitengeneza legacy kubwa sana kwenye vichwa vya watu wengi jambo la kwanza ili utawala uliopo upate ushawishi ni pamoja na kuchafua taswira ya magufuli hata marekani baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe miaka ya 80 na kuanza kufufua uchumi jambo la kwanza ni kujenga mindset ya watu wake kwa kuwaaminisha vitu visivyoaminika hili hawataweza na kibaya walichokosea ni kwamba wameanza mapema mnoo
Pili: huyu kichere ni mhanga mkubwa wa utawala wa magufuli alifukuzwa kama mbwa na kurudishwa so alikua na kinyongo kikubwa na magufuli so haya anayoeleza leo angeyaeleza marehemu akiwa hai? Cha pili vyote anavyoongea havina ukweli wowote yoote yatathibitishwa ila ninachokiona kuna moto mkubwa kama taifa utawaka ambao sasa naona kabisa vita ya ccm asili na ccm mpya kuna watu hawataweza kukaa kimya na kueleza yote na ukweli naona hali mbaya sana inakuja hasa wasipo jirekebisha
 
Naona kuna oparation ya kumchafua Rais Magufuli nawaambie Magufuli kaacha vitu vinayoonekana.

Nashauri wanaomchafua wabomoe
Ikulu ya Dom
Stend za mabasi alizojenga.
Wabomoe SGR
Wabomoe bwawa la umeme
Wabomoe daraja jipya Salenda
Wabomoe daraja la Busisi
Wachome ndege
Wabomoe ma fly over
Wabomoe barabara zote nchini alizojenda
Wabomea viwanja vya ndege alivyojenda
Haha
Kwaio anasingiziwa pesa hazijachotwa au unataka kusemaje
 
Siyo siri tena, nimebaini mchezo mchafu unaendelea kwa lengo la kumchafua Hayati Dkt Maguli.

Taratibu wanafiki wanaanza kujionesha mmmoja mmoja, wanahaha kama mtu aliyekula nyama ya binadamu. Mpaka kufikia June wanafiki wote watajulikana.

Nizungumzie Report ya CAG. Sijaona mahali popote ikionesha mafanikio ya Hayati JPM, Report mzima imejaa masemango, kwamba JPM hakuna jema alilofanya

Mfano CAG kasema Stand ya Magufuli ya Mbezi itasababisha foleni njia ya Morogoro, ooh my God ilimradi tu mradi uonekane hauna maana kasahau fursa zinazopatikana pale.

Kubwa nyingine kuhusu mradi wa umeme wa Bwawa la Nyeyere anasema Mradi unatumia plan za miaka ya sabiini amesahau kwamba mradi huu ulianzishwa na mwalimu Nyerere JPM alikuja kuendeleza tu.

Tushajua hizi ni njama za kumchafua mzee. Sasa fanyeni mtakavyo ila jueni huyu mzee ana kundi kubwa la watu ambao hawako huko twitter, insta. Wakiona mambo yanaenda kombo hawatavumilia.
Watafanya nn huko twitter, kama vp wakaombe viwanja vya makaburi alipozikiwa mwendazake nae wa msindikize

Mwacheni odo apige kazi

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Siyo siri tena, nimebaini mchezo mchafu unaendelea kwa lengo la kumchafua Hayati Dkt Maguli.

Taratibu wanafiki wanaanza kujionesha mmmoja mmoja, wanahaha kama mtu aliyekula nyama ya binadamu. Mpaka kufikia June wanafiki wote watajulikana.

Nizungumzie Report ya CAG. Sijaona mahali popote ikionesha mafanikio ya Hayati JPM, Report mzima imejaa masemango, kwamba JPM hakuna jema alilofanya

Mfano CAG kasema Stand ya Magufuli ya Mbezi itasababisha foleni njia ya Morogoro, ooh my God ilimradi tu mradi uonekane hauna maana kasahau fursa zinazopatikana pale.

Kubwa nyingine kuhusu mradi wa umeme wa Bwawa la Nyeyere anasema Mradi unatumia plan za miaka ya sabiini amesahau kwamba mradi huu ulianzishwa na mwalimu Nyerere JPM alikuja kuendeleza tu.

Tushajua hizi ni njama za kumchafua mzee. Sasa fanyeni mtakavyo ila jueni huyu mzee ana kundi kubwa la watu ambao hawako huko twitter, insta. Wakiona mambo yanaenda kombo hawatavumilia.

Huu ni mnara wa Babeli subiri utaona.
 
rais mstaafu nahisi yupo nyuma ya hii skendo ya kuchafua jina la makufuli ila makufuli hakufukua makaburi ya wenzake alificha
Huyu ndo anaeongoza nchi nyuma ya mgongo wa mama wenye akili wachache ndo wanajua[umafia wa ajabuu]
 
Waliotupatia mikopo ya kujenga hawatakubali mpaka pesa zao zote zimerejeshwa
Naona kuna oparation ya kumchafua Rais Magufuli nawaambie Magufuli kaacha vitu vinayoonekana.

Nashauri wanaomchafua wabomoe
Ikulu ya Dom
Stend za mabasi alizojenga.
Wabomoe SGR
Wabomoe bwawa la umeme
Wabomoe daraja jipya Salenda
Wabomoe daraja la Busisi
Wachome ndege
Wabomoe ma fly over
Wabomoe barabara zote nchini alizojenda
Wabomea viwanja vya ndege alivyojenda
Haha
 
Huyu boya katengenezwa kuharibu kwenye vichwa vya watu legacy ya magu kitu ambacho hataweza ametumwa hakuna kitu kipya je angekua magufuli yupo hai angeyasema haya?
Angekuwa hai Atcl ingetoa hadi gawio ilhali inatengeneza hasara ya bil60 kwa mwaka
Angekuwa hai TPA management ingepeta
Angekuwa hai hata ndugai angekaa kimya kuhusiana na bandari ya bagamoyo

Unataka kutumia nguvu kiasi gani kuukataa ukweli?
Ya magu yanawekwa hadharani sasa baada ya muda mrefu wa kufichwa .
 
Kwaio anasingiziwa pesa hazijachotwa au unataka kusemaje
Pesa alichota kikwete anaondoka madarakani mpaka walimu kulipa mishahara hawezi wakina rostam na manji ndo walipe mishahara ya wafanyakazi ameondoka kwenye hazina ya taifa kuna akiba ambayo hata nyerere hajawahi kuacha acheni upumbavu wenu tumieni akili
 
Siyo siri tena, nimebaini mchezo mchafu unaendelea kwa lengo la kumchafua Hayati Dkt Maguli.

Taratibu wanafiki wanaanza kujionesha mmmoja mmoja, wanahaha kama mtu aliyekula nyama ya binadamu. Mpaka kufikia June wanafiki wote watajulikana.

Nizungumzie Report ya CAG. Sijaona mahali popote ikionesha mafanikio ya Hayati JPM, Report mzima imejaa masemango, kwamba JPM hakuna jema alilofanya

Mfano CAG kasema Stand ya Magufuli ya Mbezi itasababisha foleni njia ya Morogoro, ooh my God ilimradi tu mradi uonekane hauna maana kasahau fursa zinazopatikana pale.

Kubwa nyingine kuhusu mradi wa umeme wa Bwawa la Nyeyere anasema Mradi unatumia plan za miaka ya sabiini amesahau kwamba mradi huu ulianzishwa na mwalimu Nyerere JPM alikuja kuendeleza tu.

Tushajua hizi ni njama za kumchafua mzee. Sasa fanyeni mtakavyo ila jueni huyu mzee ana kundi kubwa la watu ambao hawako huko twitter, insta. Wakiona mambo yanaenda kombo hawatavumilia.
Umepata mhahoo..hapo bado hatuja hoji 1.5 trl zetu zilienda wapi..usijisahaulishe mapema hivyo..asad anapasha..
 
Pesa alichota kikwete anaondoka madarakani mpaka walimu kulipa mishahara hawezi wakina rostam na manji ndo walipe mishahara ya wafanyakazi ameondoka kwenye hazina ya taifa kuna akiba ambayo hata nyerere hajawahi kuacha acheni upumbavu wenu tumieni akili
Jiwe ni Sadist na Fisadi Kuu,full stop!
 
Back
Top Bottom