Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee akili yako unajiendesha kwa hasara ya bilioni 60 kwa mwaka. Nashauri ukae ujifunze hata online unaweza kuoata faidaNaona kuna oparation ya kumchafua Rais Magufuli nawaambie Magufuli kaacha vitu vinayoonekana.
Nashauri wanaomchafua wabomoe
Ikulu ya Dom
Stend za mabasi alizojenga..
kwahiyo hesabu zinakataa sasa yeye asemeje? mobna assad si alisema hivyo hivyo na akaachishwa kazi...CAG ni kama wakaguzi tuu kama mwalimu wa zamu anaykagua mazingira kama sehemu kuchafu anasema ni kama halafu kizuri ni hesabu ambzao hata wewe ukiwekewa mezani unapiga na unapata jibu na kujua kuna mahali hapako sawa.Ni hivi wanajamvi kwa heshima nawasalimu najua hamjambo jambo ninaloweza kuchangia ni kwamba hawa wanachofanya ni kitu simple sana magufuli alitengeneza legacy kubwa sana kwenye vichwa vya watu wengi jambo la kwanza ili utawala uliopo upate ushawishi ni pamoja na kuchafua taswira ya magufuli hata marekani baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe miaka ya 80 na kuanza kufufua uchumi jambo la kwanza ni kujenga mindset ya watu wake kwa kuwaaminisha vitu visivyoaminika hili hawataweza na kibaya walichokosea ni kwamba wameanza mapema mno....
Siyo siri tena, nimebaini mchezo mchafu unaendelea kwa lengo la kumchafua Hayati Dkt Maguli.
Taratibu wanafiki wanaanza kujionesha mmmoja mmoja, wanahaha kama mtu aliyekula nyama ya binadamu. Mpaka kufikia June wanafiki wote watajulikana...
These bitches talking nansense shiiittt..leo CAG anachafua ...mamaaee...mtazitapika pesa zote hadi zile zilizojenga chatoKwasababu CAG kusema ukweli imekuwa mchezo mchafu?
Nigga f out here
Ndio maana tunasema wasukuma ni washamba sana ,yaan na mibunduki mizito ile anauawa kizembe na watoto wa mjini?Kuna jitihada za kuzima legacy ya mwendazake. Why? Kwa sababu mwendazake ameuawa! Inside job
Kwani magu alikua anapenda kusikia hayo?Huyu boya katengenezwa kuharibu kwenye vichwa vya watu legacy ya magu kitu ambacho hataweza ametumwa hakuna kitu kipya je angekua magufuli yupo hai angeyasema haya?
ripoti ya 2019/2020 ila mambo yanatolewa ya 2016 kama sio chezo ni nini 😂😂So tatizo la CAG ni kusema ukweli ama?
Acha upoyoyo kipind Cha jk cag alikuwa anatoa ripot kila mwaka na madudu yaliongelewa wazwaz je jiwe wenu kwa miaka yake mitano ni cag yupi aliweza kuanika madudu yake Zaid ya Assad nae baada ya kuongea ukwel akamfangia figisu akatolewa.rais mstaafu nahisi yupo nyuma ya hii skendo ya kuchafua jina la makufuli ila makufuli hakufukua makaburi ya wenzake alificha
Mtafanyaje?Siyo siri tena, nimebaini mchezo mchafu unaendelea kwa lengo la kumchafua Hayati Dkt Maguli.
Taratibu wanafiki wanaanza kujionesha mmmoja mmoja, wanahaha kama mtu aliyekula nyama ya binadamu. Mpaka kufikia June wanafiki wote watajulikana...
wananchi tumestuka mnamchafua hayati.Maskini Magufuli.
Kumbe alikuwa mtawala fisadi.
Wapambe wake wameanza kumkimbia.
Zote hizo kapiga 10% umeona mitoto yake ya kiume ilivyononaNaona kuna oparation ya kumchafua Rais Magufuli nawaambie Magufuli kaacha vitu vinayoonekana.
Nashauri wanaomchafua wabomoe
Ikulu ya Dom
Stend za mabasi alizojenga...
Humtakii mema. Ulitaka aseme? Uko serious? Hukumfahamu vizuri Mr. "Mtanikumbuka kwa mema siyo kwa mabaya"Huyu boya katengenezwa kuharibu kwenye vichwa vya watu legacy ya magu kitu ambacho hataweza ametumwa hakuna kitu kipya je angekua magufuli yupo hai angeyasema haya?