Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa Afrika

Nelson Jacob Kagame

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2022
Posts
9,576
Reaction score
13,545
Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde, tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati.

Sasa unapokuwa unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na vyama vichanga kisiasa kama Chadema au ACT Wazalendo au NCCR Mageuzi au CUF.

Watakuja watu na watapita CCM itabaki palepale na ukitaka kuijua CCM utufuate watu wa CCM tukujuze kuhusu CCM sababu CCM ina wenyewe.
 
Aisee wewe kupitia Ccm umepata faida zipi za kiuchumi maana Kuna watu mmegeuzwa mtaji wa kisiasa. Na Kuna wale wanafaidika Kama watoto wa Magufuli ,au Lowassa au kikwete.
Msomi unataka kujua faida za CCM kwa watanzania????Au faida za CCM kwangu???
 
Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde,tumepitia mifarakano...
Ni kweli ccm ina wenyewe, ambao ni uzao wa panya...
babu mwizi,
baba mwizi,
mtoto mwizi,
mjukuu mwizi,
kitukuu mwizi,
kilembwe mwizi,
kining'ina mwizi🙄
 
Mnajua kushika tu dola lakin kwenye kuleta maendeleo kwa hawa wadanganyika mna speed ya mkokoteni
 
Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde,tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati.Sasa unapokua unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na vyama vichanga kisiasa kama Chadema au ACT wazalendo au NCCR Mageuzi au CUF.Watakuja watu na watapita CCM itabaki palepale na ukitaka kuijua CCM utufuate watu wa CCM tukujuze kuhusu CCM sababu CCM ina wenyewe.
Hakika ni chama kikubwa kikichokusanya wahalifu sugu na wakajitungia sheria za kuwalinda
 
Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde,tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati.Sasa unapokua unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na vyama vichanga kisiasa kama Chadema au ACT wazalendo au NCCR Mageuzi au CUF.Watakuja watu na watapita CCM itabaki palepale na ukitaka kuijua CCM utufuate watu wa CCM tukujuze kuhusu CCM sababu CCM ina wenyewe.
CCM itakufa tena kifo cha panya siku sio nyingi. Ikowapi KANU, ZANU, etc?
 
Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde,tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati.Sasa unapokua unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na vyama vichanga kisiasa kama Chadema au ACT wazalendo au NCCR Mageuzi au CUF.Watakuja watu na watapita CCM itabaki palepale na ukitaka kuijua CCM utufuate watu wa CCM tukujuze kuhusu CCM sababu CCM ina wenyewe.
Ccm ina wenyewe na wenyewe ndo nyiny
 
Back
Top Bottom