Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa Afrika

Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde,tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati.Sasa unapokua unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na vyama vichanga kisiasa kama Chadema au ACT wazalendo au NCCR Mageuzi au CUF.Watakuja watu na watapita CCM itabaki palepale na ukitaka kuijua CCM utufuate watu wa CCM tukujuze kuhusu CCM sababu CCM ina wenyewe.
Haya utayasikia kutoka kwa wasiojua kuandika tu! Sijui ni kwanini huwa inakua hivi?
By the way, umesahau kuweka namba yako ya simu hapo mwishoni.
 
Ni kweli ccm ina wenyewe, ambao ni uzao wa panya...
babu mwizi,
baba mwizi,
mtoto mwizi,
mjukuu mwizi,
kitukuu mwizi,
kilembwe mwizi,
kining'ina mwizi[emoji849]
yes, hii ndio CCM orijino.

Bila kusahau WAUZA MADAWA YA KULEVYA wanaoongozwa na RIZI.
 
Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde,tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati.Sasa unapokua unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na vyama vichanga kisiasa kama Chadema au ACT wazalendo au NCCR Mageuzi au CUF.Watakuja watu na watapita CCM itabaki palepale na ukitaka kuijua CCM utufuate watu wa CCM tukujuze kuhusu CCM sababu CCM ina wenyewe.
inabebwa na dola pia wanatumia pesa za serikali kubaki walivyo
kura zinanunuliwa kwa hela za umma
 
Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde,tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati.Sasa unapokua unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na vyama vichanga kisiasa kama Chadema au ACT wazalendo au NCCR Mageuzi au CUF.Watakuja watu na watapita CCM itabaki palepale na ukitaka kuijua CCM utufuate watu wa CCM tukujuze kuhusu CCM sababu CCM ina wenyewe.
Safi saana.
 
Aisee wewe kupitia Ccm umepata faida zipi za kiuchumi maana Kuna watu mmegeuzwa mtaji wa kisiasa. Na Kuna wale wanafaidika Kama watoto wa Magufuli ,au Lowassa au kikwete.
Unamawazo ya ajabu sana wewe,na pengine wewe ni mbinafsi sana,hivi mwanajeshi anapoamua kukaa mstari wa mbele vitani,mpk anakubali kufa,ni kwa sababu za kiuchumi au taifa lake?, yaani unafikilia faida zako binafsi badala ya kufikilia taifa lako?
 
Mkuu nisaidie kumuelewesha
 
Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde, tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati.

Sasa unapokuwa unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na vyama vichanga kisiasa kama Chadema au ACT Wazalendo au NCCR Mageuzi au CUF.

Watakuja watu na watapita CCM itabaki palepale na ukitaka kuijua CCM utufuate watu wa CCM tukujuze kuhusu CCM sababu CCM ina wenyewe.
Zamani ilikuwa ni rahisi san kutambua jinsi ya mtu kwa kuangalia jina lake tu. Sasa hivi tokea zimeanza hizi jinsi nyingine za kimagharibi na za kimakinikia inakuwa ngumu mno hata kutabiri jinsi ya mleta hoja. Haya bana, ndiyo matunda yenyewe ya kizazi cha maudhui ya "Wimpy kid diary"
 
Mkuu mbona umecatch feelings???
 
Back
Top Bottom