Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Msomi unataka kujua faida za CCM kwa watanzania????Au faida za CCM kwangu???Aisee wewe kupitia Ccm umepata faida zipi za kiuchumi maana Kuna watu mmegeuzwa mtaji wa kisiasa. Na Kuna wale wanafaidika Kama watoto wa Magufuli ,au Lowassa au kikwete.
Unabidi kuhakikisha unafaidika na hizo mnaita siasa na sio kugeuzwa mtaji ,hapa unaandika kuhusu Ccm je unalipwa au umepata Kazi ya maana kupitia ccm au wewe ni mwajiriwa wa Ccm ???Msomi unataka kujua faida za CCM kwa watanzania????Au faida za CCM kwangu???
Msomi unataka kujua mimi individual au na wananchi wenzangu???Unabidi kuhakikisha unafaidika na hizo mnaita siasa na sio kugeuzwa mtaji ,hapa unaandika kuhusu Ccm je unalipwa au umepata Kazi ya maana kupitia ccm au wewe ni mwajiriwa wa Ccm ???
Wahusika wanaelewa kiongozi.Binafsi, sijaelewa madhumuni ya huu uzi wako! Unamjibu, au unamwambia nani na baada ya yeye kukuambia nini?
CCM halisi ni ya akina ridhwani kikwete na baba yake wewe upo upande gani mkuu 😂😂😂Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde,tumepitia mifarakano na mipasuko...
Akili za kuambiwa changanya na zako Mkuu.Ccm halisi ni ya akina ridhwani kikwete na baba yake wewe upo upande gani mkuu 😂😂😂
Ni kweli ccm ina wenyewe, ambao ni uzao wa panya...Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde,tumepitia mifarakano...
Msomi mbona umeongea kwa feelings mno?Ni kweli ccm ina wenyewe, ambao ni uzao wa panya...
babu mwizi,
baba mwizi....
Upo serious mkuu???Mnajua kushika tu dola lakin kwenye kuleta maendeleo kwa hawa wadanganyika mna speed ya mkokoteni
Hakika ni chama kikubwa kikichokusanya wahalifu sugu na wakajitungia sheria za kuwalindaHuwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde,tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati.Sasa unapokua unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na vyama vichanga kisiasa kama Chadema au ACT wazalendo au NCCR Mageuzi au CUF.Watakuja watu na watapita CCM itabaki palepale na ukitaka kuijua CCM utufuate watu wa CCM tukujuze kuhusu CCM sababu CCM ina wenyewe.
Akili za kuambiwa changanya na zako msomi?Hakika ni chama kikubwa kikichokusanya wahalifu sugu na wakajitungia sheria za kuwalinda
Unaniuliza ama.unaniambia mkuu?Akili za kuambiwa changanya na zako msomi???
Nakuambia msomi,Unaniuliza ama.unaniambia mkuu?
CCM itakufa tena kifo cha panya siku sio nyingi. Ikowapi KANU, ZANU, etc?Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde,tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati.Sasa unapokua unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na vyama vichanga kisiasa kama Chadema au ACT wazalendo au NCCR Mageuzi au CUF.Watakuja watu na watapita CCM itabaki palepale na ukitaka kuijua CCM utufuate watu wa CCM tukujuze kuhusu CCM sababu CCM ina wenyewe.
Ccm ina wenyewe na wenyewe ndo nyinyHuwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde,tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati.Sasa unapokua unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na vyama vichanga kisiasa kama Chadema au ACT wazalendo au NCCR Mageuzi au CUF.Watakuja watu na watapita CCM itabaki palepale na ukitaka kuijua CCM utufuate watu wa CCM tukujuze kuhusu CCM sababu CCM ina wenyewe.
Basi rudi shule ukajifunze kuandika na kusomaNakuambia msomi,