Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #21
CCM hii hii msomi??CCM itakufa tena kifo cha panya siku sio nyingi. Ikowapi KANU, ZANU, etc?
Nilikimbia umande msomi.Basi rudi shule ukajifunze kuandika na kusoma
Ndio sisi"Wakereketwa""mkuuCcm ina wenyewe na wenyewe ndo nyiny
Haya utayasikia kutoka kwa wasiojua kuandika tu! Sijui ni kwanini huwa inakua hivi?Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde,tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati.Sasa unapokua unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na vyama vichanga kisiasa kama Chadema au ACT wazalendo au NCCR Mageuzi au CUF.Watakuja watu na watapita CCM itabaki palepale na ukitaka kuijua CCM utufuate watu wa CCM tukujuze kuhusu CCM sababu CCM ina wenyewe.
Nawakubali sana japo mim sio mpenz wa siasa na wish siku niwe member bora wa ccmNdio sisi"Wakereketwa""mkuu
Karibu kundini msomiNawakubali sana japo mim sio mpenz wa siasa na wish siku niwe member bora wa ccm
ThexKaribu kundini msomi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] mpiga debe huyo hajui chochote.Ccm halisi ni ya akina ridhwani kikwete na baba yake wewe upo upande gani mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Usicatch feeling msomi.Haya utayasikia kutoka kwa wasiojua kuandika tu! Sijui ni kwanini huwa inakua hivi?
By the way, umesahau kuweka namba yako ya simu hapo mwishoni.
Mimi siyo msomi wewe. Mambo yenu ya kuitana wasomi ni hukohukoUsicatch feeling msomi.
Karibu kundini msomi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] mpiga debe huyo hajui chochote.
yes, hii ndio CCM orijino.Ni kweli ccm ina wenyewe, ambao ni uzao wa panya...
babu mwizi,
baba mwizi,
mtoto mwizi,
mjukuu mwizi,
kitukuu mwizi,
kilembwe mwizi,
kining'ina mwizi[emoji849]
Sawa mkuu karibu kundiniMimi siyo msomi wewe. Mambo yenu ya kuitana wasomi ni hukohuko
inabebwa na dola pia wanatumia pesa za serikali kubaki walivyoHuwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde,tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati.Sasa unapokua unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na vyama vichanga kisiasa kama Chadema au ACT wazalendo au NCCR Mageuzi au CUF.Watakuja watu na watapita CCM itabaki palepale na ukitaka kuijua CCM utufuate watu wa CCM tukujuze kuhusu CCM sababu CCM ina wenyewe.
Safi saana.Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde,tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati.Sasa unapokua unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na vyama vichanga kisiasa kama Chadema au ACT wazalendo au NCCR Mageuzi au CUF.Watakuja watu na watapita CCM itabaki palepale na ukitaka kuijua CCM utufuate watu wa CCM tukujuze kuhusu CCM sababu CCM ina wenyewe.
Unamawazo ya ajabu sana wewe,na pengine wewe ni mbinafsi sana,hivi mwanajeshi anapoamua kukaa mstari wa mbele vitani,mpk anakubali kufa,ni kwa sababu za kiuchumi au taifa lake?, yaani unafikilia faida zako binafsi badala ya kufikilia taifa lako?Aisee wewe kupitia Ccm umepata faida zipi za kiuchumi maana Kuna watu mmegeuzwa mtaji wa kisiasa. Na Kuna wale wanafaidika Kama watoto wa Magufuli ,au Lowassa au kikwete.
Kura zinanunuliwainabebwa na dola pia wanatumia pesa za serikali kubaki walivyo
kura zinanunuliwa kwa hela za umma
Mkuu nisaidie kumueleweshaUnamawazo ya ajabu sana wewe,na pengine wewe ni mbinafsi sana,hivi mwanajeshi anapoamua kukaa mstari wa mbele vitani,mpk anakubali kufa,ni kwa sababu za kiuchumi au taifa lake?, yaani unafikilia faida zako binafsi badala ya kufikilia taifa lako?
Pamoja mkuuSafi saana.
Zamani ilikuwa ni rahisi san kutambua jinsi ya mtu kwa kuangalia jina lake tu. Sasa hivi tokea zimeanza hizi jinsi nyingine za kimagharibi na za kimakinikia inakuwa ngumu mno hata kutabiri jinsi ya mleta hoja. Haya bana, ndiyo matunda yenyewe ya kizazi cha maudhui ya "Wimpy kid diary"Huwezi kuilinganisha CCM na vyama vingine hapa afrika.Tumetoka mbali,tumepitia milima na mabonde, tumepitia mifarakano na mipasuko na tumekomaa na siasa za kiafrika na tunajua nini maana ya kushika dola na kuiongoza kimkakati.
Sasa unapokuwa unazungumzia siasa za Tanzania usiilinganishe CCM na vyama vichanga kisiasa kama Chadema au ACT Wazalendo au NCCR Mageuzi au CUF.
Watakuja watu na watapita CCM itabaki palepale na ukitaka kuijua CCM utufuate watu wa CCM tukujuze kuhusu CCM sababu CCM ina wenyewe.
Mkuu mbona umecatch feelings???Zamani ilikuwa ni rahisi san kutambua jinsi ya mtu kwa kuangalia jina lake tu. Sasa hivi tokea zimeanza hizi jinsi nyingine za kimagharibi na za kimakinikia inakuwa ngumu mno hata kutabiri jinsi ya mleta hoja. Haya bana, ndiyo matunda yenyewe ya kizazi cha maudhui ya "Wimpy kid diary"