kibangubangu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 272
- 353
Ili uitawale Dunia lazima uwe katika mwili. Dunia ni phyisikia, huwezi itawala dunia bila mwili.
Mapepo, majini na roho hazina nguvu duniania sababu dunia si ulimwengu wa roho ni ulimwengu wa kifizikia. Mashetani na Malaika huhitaji mwili kukamilisha jambo katika dunia liwe baya au jema!
Asie na mwili, awe jini, awe pepo awe jinamizi au awe malaika wanahitaji mwili kufanya tendo duniani. Usitishwe na kitu chochote kisicho na mwili sababu havina mamlaka ya kidunia. Mwenye mwili ndio mtawala wa dunia.
Ni Mungu pekee ambaye ameumba amri hii, huumba watu au hujenga watu wa jeshi lake katika mwili, bila mwili huwezi fanya chochote katika dunia bila mwili huna mamlaka katika dunia.
Kama Mungu angeruhusu hata wasio na mwili kusumbua wanadamu basi mapepo na majini wangepewa vyeo.
Kuanzia sasa jua mtawala wa dunia ni Mungu na mwenye mwili. Hayo mapepo sijui majini ni upumbavu, hawana mwili hao wasikusumbue hao mi mateka wako.
Ndiyo maana Mungu alimuumba Yesu katika hali ya mwili ili alete mabadiliko. Mungu ni roho ila alijua ili afanye mabadiliko duniani lazima aje katika mwili.
Hivyo usiogope visivyoonekana sababu havina uwezo katika dunia hii visivyo onekana ni dhaifu duniani.
Majini ni dhaifu, mapepo ni dhaifu, mashetani pia ni shaifu.
Ila kumbuka visivyo onekana ili vitinie vitahitaji kuitumia mwili wako si wa mwingine, sababu bila mwili vyenyewe ni dhaifu na si chochote hapa duniani..
Kuwa na mwili ni thamani ya kipekeee kidunia.
Kumbuka wenye mwili ndio wenye nguvu ya kufanya mabadiliko katika dunia ndio maana Yesu alizaliwa katika mwili, ilibidi aje kama sisi ili afanye kitu. Yesu angekuja katika roho asingeweza fanya chochote, hivyo kisichokuwa katika mwili kisikutishe.
Fahamu mapepona majini yanahitaji mwili wako yafanye kile wanachotaka, bila mwili wako yao si chochote.
Mmiliki wa dunia ni binadamu mwenye mwili. Kwa viumbe visivyo na mwili kama majini, mapepo na mashetani hayawezi fanya chochote bila mwili; ndio maana yanahitaji saana mwili wako kukamikisha maagano!