It goes with words,it comes with karma
Maneno huumba, manchester united kujiita shetani waliingia choo cha kike ni kitu kibaya sana hawatainuka tena mpaka waende kanisani wakatubu na kubadilisha jina
Kama hawatatubu wasubirie majivu ya mzee fagie akiitwa na Mungu wakayamwage pitch za old trafard
Timu imeunganishwa na nguvu za giza ila makocha wake ni watu clean it can't work
Ulaya kocha anayetumia magic amebaki Conte tu wengine ni siprutal hawataki ushirikina,
Manchester united wapo kwenye dimbwi wasipobadilisha kujiita shetani watafutika kwenye soka la ushindani