Huwezi kumfunga mikono mwizi kwasababu wizi ni roho

Huwezi kumfunga mikono mwizi kwasababu wizi ni roho

baba anjela

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
431
Reaction score
310
Huenda mwendazake alifikiri ukali na vitisho ni silaha ya kunyamazisha wizi au kumaliza wezi, lakini kiukweli wizi ni roho.

Wizi ni kama Madawa ya kulevya. Mbwia Madawa akikosa Madawa yuko tayari kufanya lolote kutimiza kiu (desire) yake.

Kile kiu ni ile Nguvu ya spirit (roho chafu iliyomo ndani yake) na kama ni roho basi tambua ina uwezo wa kutoka kwa huyu na kwenda kwa mwengine.

Mzee akutambua anapambana na shetani na si mwanadamu akazani peke yake ataweza.
 
Back
Top Bottom