Huwezi kumkimbia Dubu inatakiwa kumkabili barabara!!!-Benjamin Netanyahu!!

Huwezi kumkimbia Dubu inatakiwa kumkabili barabara!!!-Benjamin Netanyahu!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Maneno hayo aliyasema Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu miaka 25 iliyopita akiziasa nchi za Magharibi kuhusu kupambana na Magaidi lakini hawakumuelewa lakini sasa hivi wanakumbuka maneno yake wakati vitendo vya kigaidi vimeenea karibu sehemu zote za Ulaya na Marekani. Wafuga Midevu na Majini wameshaziteka nyara nchi hizo!!!

Kama Muisraeli anayeishi katika moja ya vita vya kikatili zaidi taifa langu limewahi kujua, bado nina wasiwasi kuhusu Ulaya kuliko sisi.

Inaonekana kama Ulaya inaanguka, ikiwa imerekebisha na kuvumilia Uislamu wenye itikadi kali katika miji yake mikuu.

Ulaya, amka kabla ya kupoteza kila kitu.
 

Attachments

  • VID_20250903_084922_897.mp4
    14.9 MB
Back
Top Bottom