Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kassim Dewji, mmoja wa manazi wa Simba Sports club ana historia kubwa ndani ya timu hiyo, huwezi kuiongelea Simba ukaacha kumtaja mnyama huyo, wale wanaoshabikia Simba miaka hii ya 2015 hawamjui huyo jamaa, muulizeni Gentamycine awape habari zake.
Kassim Dewji aliwahi kuingia kwenye mzozo na marehemu Juma Salum, yaliyotokea anajua mungu tu, Kasssim Dewji aliwahi kufanya kazi na akina marehem Priva Mtema, ulizeni wako wap.
Kassim Dewji ni Mtanzania mwenye asili ya kihindi lkn mambo yake yamejaa sana uswahili, uhuni wote anaujua Kassim Dewji . Mipango yote ya umafia anaijua Kassim Dewji, ni Kassim Dewji ndie aliyewashawishi akina Try again, Mo Dewji kuingia Simba na wengineo, anajua historia ya Simba kuliko sisi wapiga kelele, mambo ya kuwa cjui kanyimwa tenda ya kuuza jezi ni kumchafua tu, yuko kwenye bodi kuiwezesha Simba kufanya vzr, wasiomjua Kassim Dewji wameingia kwenye mpira Leo.
Barbra ambaye ni Ceo wa Simba amekuwa kwenye mzozo na Kassim Dewji pamoja na baadhi ya wachezaji, Kassim Dewji ameibuka na kusem alijiondoa kwenye bodi tangu Desemba, msiojua mpira mkae mkijua kufanya vibaya kwa Simba kulichangiwa na Dewji kujiweka kando, huyo ni mtu hatari sana, mikakati ya ushindi anaijua mwanzo mwisho, ndio mana mafia wa Simba wanaona ni bora Kassim abaki kuliko Barbra, wanajua umuhimu wa Kassim, Barbra anawez kuwa mtendaji mzuri lkn sio kwa Simba, mambo mengi yanayoihusu timu hiyo hayajui, huwezi kumpambanisha na Kassim, kiufupi huwezi kupambana na Kassim ukaibuka mshindi, Kassim ni mtu mwingine kabisa, huyo Barbra anaonekana mzuri kwa sababu anatekeleza maazimio ya bodi ambayo Kassim ni mjumbe.
Kassim ameona anavyoijua Simba na anachofanya Barbra ni kututumbukiza shimoni hivyo hakubaliani naye, isitoshe Kassim ameshawahi kuwa mtendaji wa Simba kama alivyo Barbra.
Ushauri wangu, Barbra anawez kuwa mtendaji mzuri sana lakini sio lazima uendelee kuwepo Simba, kwa hali ilipofikia aiachie timu ili iweze kusonga mbele.