Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
makolo mkijaribu kumtoa babra na mp anasepa,ujanj a wa kumtoa chaunabe hamna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni chawa wa KassimKassim Dewji, mmoja wa manazi wa Simba Sports club ana historia kubwa ndani ya timu hiyo, huwezi kuiongelea Simba ukaacha kumtaja mnyama huyo, wale wanaoshabikia Simba miaka hii ya 2015 hawamjui huyo jamaa, muulizeni Gentamycine awape habari zake, Kassim Dewji aliwahi kuingia kwenye mzozo na marehemu Juma Salum, yaliyotokea anajua mungu tu, Kasssim Dewji aliwahi kufanya kazi na akina marehem Priva Mtema, ulizeni wako wap.Kassim Dewji ni mtanzania mwenye asili ya kihindi lkn mambo yake yamejaa sana uswahili, uhuni wote anaujua Kassim Dewji . Mipango yote ya umafia anaijua Kassim Dewji, ni Kassim Dewji ndie aliyewashawishi akina Try again, Mo Dewji kuingia Simba na wengineo, anajua historia ya Simba kuliko sisi wapiga kelele, mambo ya kuwa cjui kanyimwa tenda ya kuuza jezi ni kumchafua tu, yuko kwenye bodi kuiwezesha Simba kufanya vzr, wasiomjua Kassim Dewji wameingia kwenye mpira Leo.
Barbra ambaye ni Ceo wa Simba amekuwa kwenye mzozo na Kassim Dewji pamoja na baadhi ya wachezaji, Kassim Dewji ameibuka na kusem alijiondoa kwenye bodi tangu disemba, msiojua mpira mkae mkijua kufanya vibaya kwa Simba kulichangiwa na Dewji kujiweka kando, huyo ni mtu hatari sana, mikakati ya ushindi anaijua mwanzo mwisho, ndio mana mafia wa Simba wanaona ni bora Kassim abaki kuliko Barbra, wanajua umuhimu wa Kassim, Barbra anawez kuwa mtendaji mzuri lkn sio kwa Simba, mambo mengi yanayoihusu timu hiyo hayajui, huwezi kumpambanisha na Kassim, kiufupi huwezi kupambana na Kassim ukaibuka mshindi, Kassim ni mtu mwingine kabisa, huyo Barbra anaonekana mzuri kwa sababu anatekeleza maazimio ya bodi ambayo Kassim ni mjumbe.Kassim ameona anavyoijua Simba na anachofanya Barbra ni kututumbukiza shimoni hivyo hakubaliani naye, isitoshe Kassim ameshawahi kuwa mtendaji wa Simba kama alivyo Barbra.
Ushauri wangu, Barbra anawez kuwa mtendaji mzuri sana lakini sio lazima uendelee kuwepo Simba, kwa hali ilipofikia aiachie timu ili iweze kusonga mbele.
Hawa ni watu wasiojitambua vema ,Barbara kosa lake lipi kama anatekeleza maagizo ya bodi?Akifa leo SIMBA haitofanya VIZURI??
Tatizo mmeamini uchawi zaidi kuliko ueledi zaidi , unamaanisha timu ikae inategemea tunguli na hiyo iwe sababu ya kumpigia magoti Kassim?Na kingine wasichokijua wengi hapa ni kwamba Kassim Dewji ndiyo Mwalimu wa ule Umafia wote waliokuwa wakiona Marehemu Hanspoppe akiufanya na hajaishia hapo tu bali ni huyu huyu Kassim Dewji ( KD ) au Mvaa Mabomu ya Kipalestina kama Watu wake wa Karibu...
Asante kwa uchambuzi makini kabisa ,KD anapaswa kuelewa zama zimebadilikaKwanza nitambue mchango wa KD hapo Simba amejitolea sana ila ukichunguza sana amejitolea kwa manufaa yake binafsi zaidi,yeye ndio amefaidika sana na Simba kuliko Simba ilivyonufaika nae!! Ameongoza Simba kipindi cha giza ambako wanachama na wapenzi na watanzania kiujumla walikuwa hawana uelewa zaidi ya propaganda za viongozi,yeye aliogopwa kuwa anafuga majini watu waliamini kuwa ukigombana nae unaishia kufa!!kama walivyokufa marehemu Juma aliekuwa mwenyekiti wa club aliepata ajali ya gari akitoka Dodoma kwenye kikao na waziri Kapuya ambae alikuwa anawapatanisha baada ya ugomvi wa mwenyekiti juma Salum na KD.
Khasim Dewji ni tapeli lililokubuhu alijimegea sehemu ya ardhi ya club akajenga jengo lake binafsi pale msimbazi kinyemela,amekuwa akizalisha na kuuza jezi za Simba toka miaka ya tisini bila kuinufaisha club ya Simba! Alijimilikisha jengo la club na kulikodisha kwa wafanyabiashara uku kodi zote akichukua yeye kwa zaidi ya miaka kumi na tano madai kuwa anaidai club pesa nyingi eti alikuwa akiikopa club!!
Haitoshi alikuwa anasajili yeye wachezaji na kufanya udanganyifu kwa kiasi cha pesa alichompa mchezaji kwa kuongeza pesa ili haidai club pesa nyingi zaidi, amewahi kujiweka pembeni mara kadhaa hasa kwenye uongozi wa Aden Rage na pia mwanzoni kwenye uongozi wa Dalali na Kaduguda hasa akibanwa kuhusu pesa za jengo la club.
Haliwahi kumshawishi ndugu yake MO Dewji waanzishe timu yao,wakaanzisha African Lyon ambayo MO alimkabidhi KD aiendeshe hakufanikiwa aliishia kumtapeli ndugu yake uyo ambae mpaka leo hawaivi vizuri, na KD ndie alikuwa akiendesha kampeini MO asiwe muekezaji hapo Simba maana alijua MO akiingia Simba timu itajiendesha ki weredi na mirija ya unyonyaji itazibwa,yeye ndie alikuwa akiwafadhili wakina mzee kilomoni kuvuruga mchakato wa uekezaji.
Nchi hii ukisikia mtu anaitwa mafia na sifa nyingine za kijinga ujue ni mwizi na mpigaji,toka MO Ameingia Simba na babra kuwa CEO mianya mingi imezibwa hasa kwenye pesa za usajili,uzalishaji wa jezi na pesa za majengo ya club ambayo KD alijimilikisha kinyemela,na pesa za kuhonga na urozi ambazo MO amekataa mara kadhaa kutoa pesa za ushirikina ambazo wajanja walikuwa wanachukua kwa kisingizio cha kutafuta ushindi.
wajanja wote ambao walikuwa wanaitumia simba kujinufaisha kwa sasa wako hoi na wengi wamesusa maana hakuna fedha za bure, najua ni ngumu kuwamaliza ila waelewe watanzania angalau hiki kizazi cha internet wanajua sana sayansi ya mpira na sio propaganda za kizamani,KD abadilike maana wanasimba wa leo sio wa miaka ya tisini.
Kichaa wewe,Kipi msichoelewa hapo, Kassim Dewji na mm wap na wap, nawaambia nyie wajinga mnaotukana ambao mmeingia kwenye mpira juzi tu
Mleta mada ni kichaaKwanza nitambue mchango wa KD hapo Simba amejitolea sana ila ukichunguza sana amejitolea kwa manufaa yake binafsi zaidi,yeye ndio amefaidika sana na Simba kuliko Simba ilivyonufaika nae!! Ameongoza Simba kipindi cha giza ambako wanachama na wapenzi na watanzania kiujumla walikuwa hawana uelewa zaidi ya propaganda za viongozi,yeye aliogopwa kuwa anafuga majini watu waliamini kuwa ukigombana nae unaishia kufa!!kama walivyokufa marehemu Juma aliekuwa mwenyekiti wa club aliepata ajali ya gari akitoka Dodoma kwenye kikao na waziri Kapuya ambae alikuwa anawapatanisha baada ya ugomvi wa mwenyekiti juma Salum na KD.
Khasim Dewji ni tapeli lililokubuhu alijimegea sehemu ya ardhi ya club akajenga jengo lake binafsi pale msimbazi kinyemela,amekuwa akizalisha na kuuza jezi za Simba toka miaka ya tisini bila kuinufaisha club ya Simba! Alijimilikisha jengo la club na kulikodisha kwa wafanyabiashara uku kodi zote akichukua yeye kwa zaidi ya miaka kumi na tano madai kuwa anaidai club pesa nyingi eti alikuwa akiikopa club!!
Haitoshi alikuwa anasajili yeye wachezaji na kufanya udanganyifu kwa kiasi cha pesa alichompa mchezaji kwa kuongeza pesa ili haidai club pesa nyingi zaidi, amewahi kujiweka pembeni mara kadhaa hasa kwenye uongozi wa Aden Rage na pia mwanzoni kwenye uongozi wa Dalali na Kaduguda hasa akibanwa kuhusu pesa za jengo la club.
Haliwahi kumshawishi ndugu yake MO Dewji waanzishe timu yao,wakaanzisha African Lyon ambayo MO alimkabidhi KD aiendeshe hakufanikiwa aliishia kumtapeli ndugu yake uyo ambae mpaka leo hawaivi vizuri, na KD ndie alikuwa akiendesha kampeini MO asiwe muekezaji hapo Simba maana alijua MO akiingia Simba timu itajiendesha ki weredi na mirija ya unyonyaji itazibwa,yeye ndie alikuwa akiwafadhili wakina mzee kilomoni kuvuruga mchakato wa uekezaji.
Nchi hii ukisikia mtu anaitwa mafia na sifa nyingine za kijinga ujue ni mwizi na mpigaji,toka MO Ameingia Simba na babra kuwa CEO mianya mingi imezibwa hasa kwenye pesa za usajili,uzalishaji wa jezi na pesa za majengo ya club ambayo KD alijimilikisha kinyemela,na pesa za kuhonga na urozi ambazo MO amekataa mara kadhaa kutoa pesa za ushirikina ambazo wajanja walikuwa wanachukua kwa kisingizio cha kutafuta ushindi.
wajanja wote ambao walikuwa wanaitumia simba kujinufaisha kwa sasa wako hoi na wengi wamesusa maana hakuna fedha za bure, najua ni ngumu kuwamaliza ila waelewe watanzania angalau hiki kizazi cha internet wanajua sana sayansi ya mpira na sio propaganda za kizamani,KD abadilike maana wanasimba wa leo sio wa miaka ya tisini.
Kassim Dewji, mmoja wa manazi wa Simba Sports club ana historia kubwa ndani ya timu hiyo, huwezi kuiongelea Simba ukaacha kumtaja mnyama huyo, wale wanaoshabikia Simba miaka hii ya 2015 hawamjui huyo jamaa, muulizeni Gentamycine awape habari zake, Kassim Dewji aliwahi kuingia kwenye mzozo na marehemu Juma Salum, yaliyotokea anajua mungu tu, Kasssim Dewji aliwahi kufanya kazi na akina marehem Priva Mtema, ulizeni wako wap.Kassim Dewji ni mtanzania mwenye asili ya kihindi lkn mambo yake yamejaa sana uswahili, uhuni wote anaujua Kassim Dewji . Mipango yote ya umafia anaijua Kassim Dewji, ni Kassim Dewji ndie aliyewashawishi akina Try again, Mo Dewji kuingia Simba na wengineo, anajua historia ya Simba kuliko sisi wapiga kelele, mambo ya kuwa cjui kanyimwa tenda ya kuuza jezi ni kumchafua tu, yuko kwenye bodi kuiwezesha Simba kufanya vzr, wasiomjua Kassim Dewji wameingia kwenye mpira Leo.
Barbra ambaye ni Ceo wa Simba amekuwa kwenye mzozo na Kassim Dewji pamoja na baadhi ya wachezaji, Kassim Dewji ameibuka na kusem alijiondoa kwenye bodi tangu disemba, msiojua mpira mkae mkijua kufanya vibaya kwa Simba kulichangiwa na Dewji kujiweka kando, huyo ni mtu hatari sana, mikakati ya ushindi anaijua mwanzo mwisho, ndio mana mafia wa Simba wanaona ni bora Kassim abaki kuliko Barbra, wanajua umuhimu wa Kassim, Barbra anawez kuwa mtendaji mzuri lkn sio kwa Simba, mambo mengi yanayoihusu timu hiyo hayajui, huwezi kumpambanisha na Kassim, kiufupi huwezi kupambana na Kassim ukaibuka mshindi, Kassim ni mtu mwingine kabisa, huyo Barbra anaonekana mzuri kwa sababu anatekeleza maazimio ya bodi ambayo Kassim ni mjumbe.Kassim ameona anavyoijua Simba na anachofanya Barbra ni kututumbukiza shimoni hivyo hakubaliani naye, isitoshe Kassim ameshawahi kuwa mtendaji wa Simba kama alivyo Barbra.
Ushauri wangu, Barbra anawez kuwa mtendaji mzuri sana lakini sio lazima uendelee kuwepo Simba, kwa hali ilipofikia aiachie timu ili iweze kusonga mbele.
Kipi msichoelewa hapo, Kassim Dewji na mm wap na wap, nawaambia nyie wajinga mnaotukana ambao mmeingia kwenye mpira juzi tu
Kwanza nitambue mchango wa KD hapo Simba amejitolea sana ila ukichunguza sana amejitolea kwa manufaa yake binafsi zaidi,yeye ndio amefaidika sana na Simba kuliko Simba ilivyonufaika nae!! Ameongoza Simba kipindi cha giza ambako wanachama na wapenzi na watanzania kiujumla walikuwa hawana uelewa zaidi ya propaganda za viongozi,yeye aliogopwa kuwa anafuga majini watu waliamini kuwa ukigombana nae unaishia kufa!!kama walivyokufa marehemu Juma aliekuwa mwenyekiti wa club aliepata ajali ya gari akitoka Dodoma kwenye kikao na waziri Kapuya ambae alikuwa anawapatanisha baada ya ugomvi wa mwenyekiti juma Salum na KD.
Khasim Dewji ni tapeli lililokubuhu alijimegea sehemu ya ardhi ya club akajenga jengo lake binafsi pale msimbazi kinyemela,amekuwa akizalisha na kuuza jezi za Simba toka miaka ya tisini bila kuinufaisha club ya Simba! Alijimilikisha jengo la club na kulikodisha kwa wafanyabiashara uku kodi zote akichukua yeye kwa zaidi ya miaka kumi na tano madai kuwa anaidai club pesa nyingi eti alikuwa akiikopa club!!
Haitoshi alikuwa anasajili yeye wachezaji na kufanya udanganyifu kwa kiasi cha pesa alichompa mchezaji kwa kuongeza pesa ili haidai club pesa nyingi zaidi, amewahi kujiweka pembeni mara kadhaa hasa kwenye uongozi wa Aden Rage na pia mwanzoni kwenye uongozi wa Dalali na Kaduguda hasa akibanwa kuhusu pesa za jengo la club.
Haliwahi kumshawishi ndugu yake MO Dewji waanzishe timu yao,wakaanzisha African Lyon ambayo MO alimkabidhi KD aiendeshe hakufanikiwa aliishia kumtapeli ndugu yake uyo ambae mpaka leo hawaivi vizuri, na KD ndie alikuwa akiendesha kampeini MO asiwe muekezaji hapo Simba maana alijua MO akiingia Simba timu itajiendesha ki weredi na mirija ya unyonyaji itazibwa,yeye ndie alikuwa akiwafadhili wakina mzee kilomoni kuvuruga mchakato wa uekezaji.
Nchi hii ukisikia mtu anaitwa mafia na sifa nyingine za kijinga ujue ni mwizi na mpigaji,toka MO Ameingia Simba na babra kuwa CEO mianya mingi imezibwa hasa kwenye pesa za usajili,uzalishaji wa jezi na pesa za majengo ya club ambayo KD alijimilikisha kinyemela,na pesa za kuhonga na urozi ambazo MO amekataa mara kadhaa kutoa pesa za ushirikina ambazo wajanja walikuwa wanachukua kwa kisingizio cha kutafuta ushindi.
wajanja wote ambao walikuwa wanaitumia simba kujinufaisha kwa sasa wako hoi na wengi wamesusa maana hakuna fedha za bure, najua ni ngumu kuwamaliza ila waelewe watanzania angalau hiki kizazi cha internet wanajua sana sayansi ya mpira na sio propaganda za kizamani,KD abadilike maana wanasimba wa leo sio wa miaka ya tisini.
Kama Mamaako Mzazi.Mleta mada ni kichaa
Mchukue Kasim Dewji mkaanzishe timu yenu, upuuzi wake wa kihindi asilete wakati huuKassim Dewji, mmoja wa manazi wa Simba Sports club ana historia kubwa ndani ya timu hiyo, huwezi kuiongelea Simba ukaacha kumtaja mnyama huyo, wale wanaoshabikia Simba miaka hii ya 2015 hawamjui huyo jamaa, muulizeni Gentamycine awape habari zake, Kassim Dewji aliwahi kuingia kwenye mzozo na marehemu Juma Salum, yaliyotokea anajua mungu tu, Kasssim Dewji aliwahi kufanya kazi na akina marehem Priva Mtema, ulizeni wako wap.Kassim Dewji ni mtanzania mwenye asili ya kihindi lkn mambo yake yamejaa sana uswahili, uhuni wote anaujua Kassim Dewji . Mipango yote ya umafia anaijua Kassim Dewji, ni Kassim Dewji ndie aliyewashawishi akina Try again, Mo Dewji kuingia Simba na wengineo, anajua historia ya Simba kuliko sisi wapiga kelele, mambo ya kuwa cjui kanyimwa tenda ya kuuza jezi ni kumchafua tu, yuko kwenye bodi kuiwezesha Simba kufanya vzr, wasiomjua Kassim Dewji wameingia kwenye mpira Leo.
Barbra ambaye ni Ceo wa Simba amekuwa kwenye mzozo na Kassim Dewji pamoja na baadhi ya wachezaji, Kassim Dewji ameibuka na kusem alijiondoa kwenye bodi tangu disemba, msiojua mpira mkae mkijua kufanya vibaya kwa Simba kulichangiwa na Dewji kujiweka kando, huyo ni mtu hatari sana, mikakati ya ushindi anaijua mwanzo mwisho, ndio mana mafia wa Simba wanaona ni bora Kassim abaki kuliko Barbra, wanajua umuhimu wa Kassim, Barbra anawez kuwa mtendaji mzuri lkn sio kwa Simba, mambo mengi yanayoihusu timu hiyo hayajui, huwezi kumpambanisha na Kassim, kiufupi huwezi kupambana na Kassim ukaibuka mshindi, Kassim ni mtu mwingine kabisa, huyo Barbra anaonekana mzuri kwa sababu anatekeleza maazimio ya bodi ambayo Kassim ni mjumbe.Kassim ameona anavyoijua Simba na anachofanya Barbra ni kututumbukiza shimoni hivyo hakubaliani naye, isitoshe Kassim ameshawahi kuwa mtendaji wa Simba kama alivyo Barbra.
Ushauri wangu, Barbra anawez kuwa mtendaji mzuri sana lakini sio lazima uendelee kuwepo Simba, kwa hali ilipofikia aiachie timu ili iweze kusonga mbele.
Hoja za kichawichawi na utumwa wa fikraKassim Dewji, mmoja wa manazi wa Simba Sports club ana historia kubwa ndani ya timu hiyo, huwezi kuiongelea Simba ukaacha kumtaja mnyama huyo, wale wanaoshabikia Simba miaka hii ya 2015 hawamjui huyo jamaa, muulizeni Gentamycine awape habari zake, Kassim Dewji aliwahi kuingia kwenye mzozo na marehemu Juma Salum, yaliyotokea anajua mungu tu, Kasssim Dewji aliwahi kufanya kazi na akina marehem Priva Mtema, ulizeni wako wap.Kassim Dewji ni mtanzania mwenye asili ya kihindi lkn mambo yake yamejaa sana uswahili, uhuni wote anaujua Kassim Dewji . Mipango yote ya umafia anaijua Kassim Dewji, ni Kassim Dewji ndie aliyewashawishi akina Try again, Mo Dewji kuingia Simba na wengineo, anajua historia ya Simba kuliko sisi wapiga kelele, mambo ya kuwa cjui kanyimwa tenda ya kuuza jezi ni kumchafua tu, yuko kwenye bodi kuiwezesha Simba kufanya vzr, wasiomjua Kassim Dewji wameingia kwenye mpira Leo.