johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tanzania inayo Katiba halali hivyo haijitajiki Katiba mpya kana kwamba tunaasisi taifa lingine.
Wanachopigania Chadema ni Toleo Jipya la Katiba ya JMT yenye marekebisho makubwa.
Ukielewa maana ya " mpya' utajua kuwa Katiba ijayo ya JMT haitakuwa mpya
Ni kama Nyerere alivyoanzisha mfumo wa vyama vingi vya siasa lakini walioviasisi wakawa ni wale wale Wana CCM akina Mtei, Cheyo maalim Seif nk so hakuna upya hapo