Huwezi kupata Katiba mpya Tanzania wanachodai Chadema ni Toleo Jipya la Katiba lenye marekebisho

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tanzania inayo Katiba halali hivyo haijitajiki Katiba mpya kana kwamba tunaasisi taifa lingine.

Wanachopigania Chadema ni Toleo Jipya la Katiba ya JMT yenye marekebisho makubwa.

Ukielewa maana ya " mpya' utajua kuwa Katiba ijayo ya JMT haitakuwa mpya

Ni kama Nyerere alivyoanzisha mfumo wa vyama vingi vya siasa lakini walioviasisi wakawa ni wale wale Wana CCM akina Mtei, Cheyo maalim Seif nk so hakuna upya hapo
 
BAVICHA wagumu kuelewa na Prof.Kabudi aliwahi kusema hakuna kitu kinachoitwa katiba mpya ikiwa nchi tayari inaongozwa na sheria
 
Yanga iingizwe kwenye katiba mpya na rangi ya kitabu iwe rangi ya wananchi, wananchi hoyeee
 
Tanzania inayo Katiba halali hivyo haijitajiki Katiba mpya kana kwamba tunaasisi taifa lingine.

Wanachopigania Chadema ni Toleo Jipya la Katiba ya JMT yenye marekebisho makubwa.

Ukielewa maana ya " mpya' utajua kuwa Katiba ijayo ya JMT haitakuwa mpya

Ni kama Nyerere alivyoanzisha mfumo wa vyama vingi vya siasa lakini walioviasisi wakawa ni wale wale Wana CCM akina Mtei, Cheyo maalim Seif nk so hakuna upya hapo
Naona unajigeuza msemaji wa CDM.
 
Back
Top Bottom