NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #81
Kweli kabisa japo mashabiki wao hawataki kusikia maneno Kama hayo.Wapongezwe kwa kushinda kombe la robo fainali mfululizo, wapeleke kombe lao la robo bungeni
Punguza hasira [emoji16]Hivi hamjachoka tuu?? Sasa imekua mtu anaanzisha mada mwingine anakuja na mada kujibu...swaiiiinn
This is Simbaa
Simba ni kitu kingine
Hutaki jamba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2603519
Si ndo wanavyojitapa kuwa timu yao iitwe bungeniKwa bunge lipi ???? Hilo la waking BABU TALE hahahahaha ! Anaitwa DR tale sijui degree ya kwanza alisoma nn haswa ? Appearance yake tu inaonesha namna alivyo kichwani hahahaha
Kwa lipi?Si ndo wanavyojitapa kuwa timu yao iitwe bungeni
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app