KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Five years now wamedumaa hapo🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Five years now wamedumaa hapo🤣🤣🤣🤣
Basi jinyonge sasa ndo washepongezwa.Yaani utadhani kutolewa kwenye hatua za mwanzo kwa Yanga kuna faida yoyote kwenye Simba kutolewa kwenye robo fainali..!!! Ambako wanatolewa mara ya ngapi sijui..!!
By the way, pongezi za kufika robo fainali, ni pale walipofanya hivyo kwa mara ya kwanza. Hiwezi pongezwa kwa kubaki pale pale kila siku..!!
Jibu swali langu ulishawahi kufika nusu katika Hili kombe la fainali.Mara ya kwanza ulikuwa unashiriki mashindano gani na sasa unashiriki mashindano gani?
Halafu wanataka wakapongezwe bungeni[emoji16]Five years now wamedumaa hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Popoma ana ulemavu uliokithiri kwenye MEDULA OBLONGATA🤣🤣🤣Halafu wanataka wakapongezwe bungeni[emoji16]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji16] hawafai kabisa katika jamii.Popoma ana ulemavu uliokithiri kwenye MEDULA OBLONGATA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wametia aibu Taifa labda wait waitwe wachapwe viboko hadharani.
AaaaahahaaaaSimba kuishia robo ndiyo malengo yao, hakuna wa kushangaa kwa hicho walicho kivuna nafikiri hata kwenye maandalizi yao na benchi la ufundi ndiyo hicho.
Hakuna sababu ya kumpa pongezi mtoto ambaye Kila mwaka anakuwa wa kumi darasani hauwezi kumpa pongezi hata kidogo kwa maana hakuna maendeleo anayoyafanya.
Ila utampa pongezi Kama Kila siku unaona improvement (maendeleo) kutoka nafasi ya kumi kapanda mpaka nane (8) na kuendelea, hakika utakua mchoyo endapo usipo mpa pongezi (kumwagia maua yake).
Huwezi kusema kuwa simba waitwe bungeni wapongezwe Sasa wapongezwe kwa lipi? Ni hatua gani au record gani wameivunja ya kushangaza mpaka waitwe bungeni wapongezwe?
Tukubali tukatae Simba walijiandaa kisaikolojia kuishia pale wanapoishia kila siku (kila msimu).
Kauli ya kusema kuwa kutolewa tumetolewa lakini tumetolewa kwa mbinde hiyo siyo kauli thabiti katika football.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Akikujibu ntagKwani hatua inayotaka kutunga (nusu) timu yako imeingia Mara ngapi??
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bwana ITR umepaniki..!! Haiwaongezi chochote zaidi ya kupata bichwa ambalo hakuna mtakakolitumiaBasi jinyonge sasa ndo washepongezwa.
Uliporoga kwa moto na ukapigwa faini kwa uchawi nje ya nchi, ilikuwa kwenye mashindano gani..!!??Mara ya kwanza ulikuwa unashiriki mashindano gani na sasa unashiriki mashindano gani?
Akiku-tag, ni-tag..!!!Akikujibu ntag
Bora umwambie ukweliBwana ITR umepaniki..!! Haiwaongezi chochote zaidi ya kupata bichwa ambalo hakuna mtakakolitumia
Hajui alisemalo huyo achana nae.Uliporoga kwa moto na ukapigwa faini kwa uchawi nje ya nchi, ilikuwa kwenye mashindano gani..!!??
Kafanyaje kwani huyo mwamba?Nilijua tu huyu Chama ni jasusi
AaahahaaaaAkiku-tag, ni-tag..!!!
Naona umechanganyikiwa siku hizi kuna kombe linaitwa fainal?Jibu swali langu ulishawahi kufika nusu katika Hili kombe la fainali.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na wewe Kuna kombe linaloitwa robo.Naona umechanganyikiwa siku hizi kuna kombe linaitwa fainal?
Au Kuna kombe la loosers.??Naona umechanganyikiwa siku hizi kuna kombe linaitwa fainal?