Huwezi kusema Simba waitwe Bungeni kupongezwa, wapongezwe kwa lipi?

Huwezi kusema Simba waitwe Bungeni kupongezwa, wapongezwe kwa lipi?

Yaani utadhani kutolewa kwenye hatua za mwanzo kwa Yanga kuna faida yoyote kwenye Simba kutolewa kwenye robo fainali..!!! Ambako wanatolewa mara ya ngapi sijui..!!

By the way, pongezi za kufika robo fainali, ni pale walipofanya hivyo kwa mara ya kwanza. Hiwezi pongezwa kwa kubaki pale pale kila siku..!!
Basi jinyonge sasa ndo washepongezwa.
 
Simba kuishia robo ndiyo malengo yao, hakuna wa kushangaa kwa hicho walicho kivuna nafikiri hata kwenye maandalizi yao na benchi la ufundi ndiyo hicho.

Hakuna sababu ya kumpa pongezi mtoto ambaye Kila mwaka anakuwa wa kumi darasani hauwezi kumpa pongezi hata kidogo kwa maana hakuna maendeleo anayoyafanya.

Ila utampa pongezi Kama Kila siku unaona improvement (maendeleo) kutoka nafasi ya kumi kapanda mpaka nane (8) na kuendelea, hakika utakua mchoyo endapo usipo mpa pongezi (kumwagia maua yake).

Huwezi kusema kuwa simba waitwe bungeni wapongezwe Sasa wapongezwe kwa lipi? Ni hatua gani au record gani wameivunja ya kushangaza mpaka waitwe bungeni wapongezwe?

Tukubali tukatae Simba walijiandaa kisaikolojia kuishia pale wanapoishia kila siku (kila msimu).

Kauli ya kusema kuwa kutolewa tumetolewa lakini tumetolewa kwa mbinde hiyo siyo kauli thabiti katika football.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aaaaahahaaaa
 
Fala kweli wewe ulidhani wale ni Rivers United wale ni Wydad Mabingwa watetezi acha ujinga!!
 
Back
Top Bottom