Huwezi kutenda mema kwa nguvu zako mwenyewe ukatoboa

Huwezi kutenda mema kwa nguvu zako mwenyewe ukatoboa

Mandela5599

Member
Joined
Jul 28, 2020
Posts
93
Reaction score
306
Mambo vipi wadau!

Nataka nitumie jukwaa hili kuwakumbusha vijana wenzangu kwamba ni dhahiri kila mmoja wetu anatanani kuwa mtu mwema

Hakuna mlevi anaependa kulala mitaroni kwa ulevi au kujidhalilisha

Hakuna mtu anaependa kuwa na hasira kali zinazo haribu hatma ya maisha yake na wengine

Hakuna mtu anaependa kuua, kubaka, kulawiti au ushoga au usagaji au punyeto.

Wengi wakimaliza kufanya hivyo vitendo wanabaki kujilaumu, kujuta na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kutaka kujiua...

This is to tell you sio akili zao ila ni power within inapush wao kufanya yasiyo faa

Mtume Paulo anasema "ninayotenda siyo ninayopenda kuyatenda....." biblical evidence kwamba haiwezekani ukaamua kutenda mema kwa nguvu zako ukafanikiwa. UTACHOKA TU

So kama umbavyo kuna nguvu inakupush kufanya maovu ndani yako vivyo hivyo ipo super natural power itakayokupa kushinda vishawishi vya mambo maovu ndani yako

Personally nilikua affected na punyeto na porno lakini kwa nguvu zangu mwenyewe nilishindwa kuacha. Psychologist hawakuweza kunisaidia, madhara mengi yanayotajwa kwenye social media hayakuweza kunipa suluhisho la kudumu

Nilipogundua kwamba maisha yangu yapo mara mbili, ya kiroho na kimwili na kwamba mafanikio yangu kwenye ulimwengu wa mwili yanategemea mafanikio yangu kiroho, nilichunguza kwa bidii nikagundua kwamba punyeto na porno zimeblock maisha yangu kwa muda mrefu

Nilifanya uamuzi wa kumpa Yesu maisha yangu, kujifunza kwa bidii Neno la Mungu na kuishi kilicho andikwa humo. Maisha yangu yalifunguka na nilianza kuona mwanga kwenye mambo mengi sana... Nilitafuta mtumishi wa Mungu, akaniombea nikafunguka na kuwa huru

Ukimpa Yesu maisha yako haina maana kwamba hutakosea, No, kukosea kupo ila unapokosea unamkimbilia anakusafisha na maisha yanaendelea na zaidi ni kwamba mwisho wa safari yako utaurithi uzima wa milele mbinguni...

Je, kuna tabia ndani yako ambayo unaichukia lakini inakutesa na unajikuta umeirudia na baada ya kuirudia unajuta kwanini umefanya?? Inawezekana umejikatia tamaa, umekubuhu kwenye hiyo tabia lakini hata Paulo alikuwa muuaji, alichinja wengi lakini Yesu alimfanya chombo kipya, usiogope, usikate tamaa, usifikirie kujiua, Yesu yupo na anapatikana bure... hakuna gharama
Mkubali leo ukufanye chombo kipya. Hallelujah
 
You create ur own fear - hakuna uraibu ambao hauwezi kuushinda .

Wanasikolojia wanachofanya ni kumtengeneza yule MTU wako wa ndani the same religious leaders.

Ukijua side effects of masturbation and watching pornography utaacha mwenyewe bila hata kuubiriwa

So always people perish deu to the lack of knowledge and not devil or enemies

Hosea 4:6
 
You create ur own fear - hakuna uraibu ambao hauwezi kuushinda .

Wanasikolojia wanachofanya ni kumtengeneza yule MTU wako wa ndani the same religious leaders.

Ukijua side effects of masturbation and watching pornography utaacha mwenyewe bila hata kuubiriwa

So always people perish deu to the lack of knowledge and not devil or enemies

Hosea 4:6
Waebrania 4:12 inasema "... Neno la Mungu liko hai na lina nguvu ya kupenya ndani ya nafsi zetu kung’oa lile tatizo ambalo mwanadamu hangeweza kulitatua.

Mwandishi wa zaburi azungumzia uwezo wa Neno la Mungu juu ya kubadilisha maisha ya watu katika zaburi 119:9,11,105 na aya nyengine.

Huwezi kuacha kwa nguvu zako, zile dhambi ni spirit hai, mwili hauwezi kushinda roho, spirit inatakiwa kupambanishwa na spirit yenye nguvu zaidi, otherwise unapoteza muda tu

Maandiko yanasema "...mambo ya rohoni hufasiriwa kwa maneno ya rohoni..."
 
Back
Top Bottom