Huwezi kutenganisha Uislam na Uarabu wakati uislam Mwanzilishi na Muenezaji wa dini hiyo alikuwa Mwarabu

Hakuna ukweli wowote waarabu kabla ya kuja uislamu walikua na mila na tamaduni zao nakwambia haya Mara kadhaa unajua s a w alipo kua anawaambia waarabu juu ya uislam walikua wakimjibuje
 
Dini bila kitabu haiwezi kuwepo. Mbona tumekueleza hili? Uislamu ulianza kuonekana baada ya quran kushushwa kwa nabii Muhammad. Kabla ya hapo hakukuwa na Uislamu.
Ulianza kuonekana na nani uislam ulikuepo kabla ya ujio wa qur an ila ulikua haujakamilika unajidai una chukua reference kutoka kwenye qur an wakati huo huo unaibishia qur an sijui una shida gani qur an yenyewe ina tanabahisha kwamba kulikua na uislam kabla ya ujio wake pia kulikua na mitume kabla ya Muhammad s a w
 
Kama mnakubali kwamba quran ni kiarabu, iweje mkatae mpaka mnameza mkaa wa moto kwamba uislam ni uarabu?
Look at the simple arithmetic
Quran = Uarabu
Quran = Usilam
Then;
Uislamu = Uarabu
Tunakataa kwamba uislam sio uarabu sababu kabla ya waarabu kufikiwa na uislam walikua na taratibu zao ambazo baadae zilikuja kuvunjwa na uislamu nilikwambia na leo nakwambia tena kabla ya qur an ama uislam waarabu hawakuwa wanamuabudia Allah walikua na mungu yao mingi ila maarufu manata uzza baada ya ujio wa s a w akawaambia kwamba wao wana dini yao waarabu na washirikina wengine na yeye ana dini yake qur an hio hio imejieleza tena kwamba imerithi ama kuendeleza milla ya nabii Ibrahim ambae hakua muarabu kijana hoja huna
 
Ishmael mwana Abraham kwa mama was kinubi kutoka sudani kusini no mwafrika mweusi.Mama yake Ishmael aliyeitwa Hajir no Bibi was waarabu wote was uzao wa Ishmael.
 

Wewe bado ni mtumwa wa fikra
Kivipi?
 
Sio kweli unajua kama waarabu walimpinga mtume s a w wakati anawahubiria qur an na uislam mpaka wakawa wanampa kejeli na kumwambia kama qur an uzushi kutunga nk au hujasoma hili
Bwana Utam hii hoja yako ni sehemu ya kutetea imani yako lakin ukweli utabaki kuwa huo na wewe unaujua,sema umeamua kukaza fuvu
 
Hujazaliwa kwenye uislam na kama umezaliwa basi hukuwahi kuujua uislam sababu usingeuliza hapo juu kwamba eti Allah hakujua kama kuna jamii nyengine wewe mpagani tokea awali
Hahahahaha kwahiyo wewe ulitaka ule uongo niliokaririshwa madrsa kuhusu allah niukiri hapa,Itakua na maana gan ya mimi kujitambua?,nimekuwekea na aya kabisa hapo halafu unakuja kuuliza eti sikuijua dini nisingeuliza kuhusu allah?!,acha ujinga watoto wako wakija kuona hizo comment halafu wakajua ni za baba yao watasikitika sana
 
Maelezo haya yanamtosha kumtoa tongotongo
 
Mii sijazoea mipasho. Huwa nahoa black and white.

Wewe kwa uelewa wako ukitenga uislam bila uarabu, unadhani utakuwa na dini hapo?
Hitaki mipasho wakati uzi wako umeuleta kwa misingi ya mipasho, uislam ilikuja ukakuta waarabu wana tamaduni zao na wali lazimika kuacha tamaduni zao ili waendane na uislam.
 
Nenda karudie swali limeulizaje kijana acha kukurupukia
Wewe kumbe huna akili 🤔,swali limeuliza kiongozi wa kiroho wa dini ya uislam dunian ni nan?,nyie mkajibu uislam hauna kiongozi,kiongozi wenu ni s.a.w na quruan,ndio tukawauliza hawa masheikh mkuu wa Tanzania na wa mikoa hao sio viongozi wa kirohoo?!
Inabid sasa tunawaelewesha kama watoto sababu hamjitambui
 
Sasa umeanza kurudiwa na fahamu. Ni hiviii, kama ilivyo kwa uislam, nazo ni desturi za watu. Sema hawajafungwa kabisa kama waislam kwamba mpaka lugha na majina watumie ya waarabu.
Sasa kama sio desturi za waafrika na ww unajiona una haki ya kuzifuata kwa nn waisilam wasiwe na haki ya kufuata machaguo wanayo yaona ni sahihi?
 
Hapa upo sahihi,hupaswi kutetea hicho unachokitetea
 
Kwenye ukiristo mtoto anapo batizwa jina la kiroho kanisani majina ya asili yanaruhusiwa?
Ww jamaa wenda hauko sawa.
uzuri ni kwamba kwenye hizi dini kuna baadhi ya waumini wanaelewa uhalisia wa haya mambo ila unafiki ndio tatizo
 
Nenda usukumani nenda uchagani nenda kwa wanyakyusa, bado utakutana na akina manka, magesa na mpoki wakristo. Lkn hilo halipo kwa wafuasi wa mudi
Kwa wakristo huwa kuna majina ya aina mbili huwa kuna lile analo pewa na mzazi na kuna lingine analo pewa baada ya unatizo sasa hilo la ubatizo ndo majina ya asili hayaruhusiwi badala yake wanataka majina ya kizungu tu.
Kama hujui hili basi ww utakuwa mkiristo jina tu.
Hata kwenye uislam watu wenye majina ya asili wapo kibao lakini wakati huo anakuwa na jina lingine atakalo kuwa anatumia kwenye masuala ya kidini.

Kiufupi mkiristo kumcheka muislam eti anafuata tamaduni za kiarabu ni dalili ya upumbavu.
 
uzuri ni kwamba kwenye hizi dini kuna baadhi ya waumini wanaelewa uhalisia wa haya mambo ila unafiki ndio tatizo
Mm ninacho jaribu kumuambia huyu punguani ni haache kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu.
Kila mtu afuate kile anacho kiona ni sahihi kwake.
Atakaye ona tamaduni za kiarabu zina mpendeza aishi ,atakaye ona tamaduni za wazungu ni bora basi afuate huu ni ulimwengu huru.
 
Bwana Utam hii hoja yako ni sehemu ya kutetea imani yako lakin ukweli utabaki kuwa huo na wewe unaujua,sema umeamua kukaza fuvu
Hakuna sehemu nakaza fuvu nakwambia kweli bisha kwa hoja wakati s a w ana eneza ama anawahubiria waarabu wa makka na viunga vyake hawakumpinga
 
Kiongozi kuna lugha isiyoeleweka? kwako huenda haieleweki ila kuna wengone wanaielewa
Mmefika mahali paap mnataka kufanya ibada na jamii ya hapo sio waislam na wanahitaji kushiriki kwenye ibada unahisi wataelewa hio lugha?
Kiongozi kuna lugha isiyoeleweka? kwako huenda haieleweki ila kuna wengone wanaielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…