Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hakuna ukweli wowote waarabu kabla ya kuja uislamu walikua na mila na tamaduni zao nakwambia haya Mara kadhaa unajua s a w alipo kua anawaambia waarabu juu ya uislam walikua wakimjibujeUislamu umefungwa ndani ya uarabu. Yaani sub set ya tamaduni za kiarabu. Hivyo kila muislam ni mfuasi wa desturi za kiarab, lakini si kila muarabu ni muislam. Uislam ni chombo kinachomilikiwa na kuenezwa na waarabu. Maana ukiutenga Uislamu kutoka uarabu, basi Uislamu unakoma kuwepo.
The existentialism of Islam ☪️ is fully depending on Arabic.