Huwezi kutenganisha Uislam na Uarabu wakati uislam Mwanzilishi na Muenezaji wa dini hiyo alikuwa Mwarabu

Bro nenda kajipange halafu uje tena. Ila utakapokuja uje na aya inayoonesha waarabu walivyompinga Muhammad. Tuache hisia na personalities pembeni.
Nishajipanga muda kijana kwa ishu ndogo kama hii s a w alipingwa na waarabu na ndio chanzo cha Kuja kwa suratul kauthar kasome kama unataka kujua pia walimdhihaki sana ikawa sababu ya safari ya israa na miiraj huujui uislam kijana
 
Nishajipanga muda kijana kwa ishu ndogo kama hii s a w alipingwa na waarabu na ndio chanzo cha Kuja kwa suratul kauthar kasome kama unataka kujua pia walimdhihaki sana ikawa sababu ya safari ya israa na miiraj huujui uislam kijana

Mii naona nijitoe kujadiliana na wewe. Unaacha kuweka aya hususa inayosema mateso aliyo pitia Mohammed, wewe unaniletea maneno matupu.
Nilichogundua waislam wengi wa JF hawasomi quran. Kazi yao kukalili maneno yanayosemwa na viongozi wao tu. Bro soma aya ili uwe thabiti kiimani. Naona hamtofautiani na wale mashabiki wa yule kiboko ya wachawi. Hawaendi huko na biblia wala nini, kazi kukariri maneno ya mchungaji wao.
 
Wewe jamaa una matatizo sana mie sijanukuu tu aya bali nimekupa sura nzima sasa unataka nini ungesema labda kama hio sura huijui ili nikupe tafsiri yake badala yake unataka kuikimbia nimekupa hio sura ni fupi tu ina aya nne au tano kama sijakosea imeelezea madhila alopitia s a w unataka nini tena au umeshindwa hoja
 
Qur an ili shushwa wakati wake ndio hakuna anae bisha kwani qur an ndio ilo leta uislam

Kwa hiyo unafikiri kunaweza kuwa na uislam bila kuruwan? Uwe unafikiri vizuri mdogo wangu. Wee hujui kwamba msingi wa imani wa dini yoyote ni kitabu chao? Bila kitabu, hakuna dini. Hilo limejidhihirisha kwa Afrika. Sababu kubwa ya kukosa dini Afrika ni kukosa msingi wa imani hiyo. Yaani kitabu. Yoote hii tunakuwa mateka wa imani za watu wengine, ni kwa sababu ya kukosa msingi wa imani au dini, ambayo ni kitabu. Lack of documentation costs Africa darely.
 

Rusha hapa niisome
 
Hata ukristo ni utamaduni wa wazungu hujamsikia Papa Francis akibariki ushoga? Africa na ushoga wapi na wapi?

Mazoea ya kudandia treni kwa mbele, utaja hongwa
😛
 
Kwann unapo banwa kwa hoja unakimbilia kususa?au kuna mtu aliye kulazimisha kuanzisha mjadara wako?

Hakuna mtu mpumbavu Kama anaye razimisha kuongelea kitu asicho kuwa na elimu nacho, una razimisha kuongelea uislam hali ya kuwa huna elimu yeyote kuhusu uislam.

Je unajua chanzo za mtume kuukimbia mji wa Maka na kwenda Madina?
Je unajua chanzo cha mwenyezi mungu kushusha aya ya kuruhusu waisilam washike upanga ili kupambana na wasio kuwa waisilam wakati huo?
Je unajua ni kwa nn waisilam walikimbilia Habasha?
 
Ahe
 
Wewe acha uongo wako hapa Uislama ni Utamaduni wa Waarabu kama ilivyo ukristo ni Utamaduni wa Wazungu hasa wa Ulaya.

Bora hao wengine wameachwa watumie lugha zao. Lkn hawa wa mudi ni kila kitu mpaka lugha majina nk. Yaani full utumwa kama assimilado ya mfaransa
 
Kwani kabla ya ujio wa s a w hakukua na uislam maana hakukua na qur an achana na waafrika ingawaje walikua na dini zao labda kwako wewe uwe huelewi maana ya dini
 
Jamani Mimi Nina hitaji msaada wa kuonana na Rais Mh: mama Suluhu Hassan.

Nawaomba watanzania wenzangu mnisaidie namna navyoweza kuonana na Rais.
 
Kwahiyo wewe un ahisi hamna waarabu wakristo! Ndiyo shida ya kuja jijini leo leo kutokea maganzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…